She love you because you meet her basic needs

She love you because you meet her basic needs

“Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabiri; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote”
Ahsante
 
Mkuu ni kweli kihekima hayo yote ni wajibu wetu, so ninachotaka mm ni kuwa wajamaa wajue ulefu wa kina cha maji wanayotaka kuogelea kikoje...

Kusiwe na kupindishwa pindishwa kwa maneno.
Hata Hawa alimpenda Adam wakiwa bustanini kwakuwa Adam aliweza kumhakikishia makazi, malazi, chakula, upendo na mengine, na bado alitoka kwa ubavu wake.
Sasa wewe ndugu yangu, yaani upendwe na mtoto wa watu na ukapuku wako, unaona inawezekana kweli, yaani akupende tu, na huna uwezo hata wa kuhakikishia kula, ulinzi, hana amani, tuacheni ujinga.
Tafuta hela kwa sasa, kwa zamani ulitakiwa kuwa na nguvu, uweze kuwinda na kufanya kazi, kumlinda nk.
 
Kweli auko peke yako, kujua hayo yote.
Ni watu8 [emoji119][emoji122][emoji122]
Unamaanisha wengi ni maigizo, hatujakutana na ( Love ) bado.
“Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabiri; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote”
 
Niongeze sauti tena au tunasikilizana majamaa

Ati nakupenda kama ulivyo, huna chochote

[emoji849]uwiiii ni uwongo, ningekua jobless tungewezana kweliii????
Tuweni makini woyi.
Ukiwaza hivyo bas ujue kuna tatizo mahali...
 
Niongeze sauti tena au tunasikilizana majamaa

Ati nakupenda kama ulivyo, huna chochote

[emoji849]uwiiii ni uwongo, ningekua jobless tungewezana kweliii????
Tuweni makini woyi.
You have a point fella
 
Back
Top Bottom