hii kali......
unaumia kiasi hiki kwa mtu ambaye hata hajakuambia kuwa anakupenda......
hana feelings na wewe kabisaaaa........
hamkuwahi kuwa marafiki, unajiwazia tuuuuu, halafu unasikia anatoka na mwingine basi wewe unachukia kila mtu.......
hapa ukweli nahitaji mwongozo inakuwaje? AshaDii, Mentor, snowhite, Dark City, watu8, Kaizer, Kaunga, gfsonwin, cacico, Asprin, MwanajamiiOne, Ennie, Heaven on Earth, Tized, Ablessed
Weka picha
Picha tafadhali.
Girl let me love,and i will love you until you learn to love yourself...
Just love her,bt pia jiandae kwa lolote,mapenzi risk sana,BUT WORTH IT
ila na yeye ajifunze ku'let go,ehh unamng'ang'ania mtu moyoni all those years ili iweje,JST LET GO..
Huwa inawatokea sana watu...ni ile phenomenon kama ya fisi kumsindikiza mtu akisubiri mkono udondoke...
Na pia kazi ngumu sana kudeal na muhanga wa mambo ya MMU...ni kujipa mayo tu kwani lolote linaweza kutokea!!
Sometimes natamani nikague tena cheti change cha kuzaliwa, inawezekana naqualify kuwa wa 1947 kama wewe Babu DC, why we always think alike? Jamani Matters of the Hearts..................................................
hii kali......
unaumia kiasi hiki kwa mtu ambaye hata hajakuambia kuwa anakupenda......
hana feelings na wewe kabisaaaa........
hamkuwahi kuwa marafiki, unajiwazia tuuuuu, halafu unasikia anatoka na mwingine basi wewe unachukia kila mtu.......
hapa ukweli nahitaji mwongozo inakuwaje? AshaDii, Mentor, snowhite, Dark City, watu8, Kaizer, Kaunga, gfsonwin, cacico, Asprin, MwanajamiiOne, Ennie, Heaven on Earth, Tized, Ablessed
hii kali......
unaumia kiasi hiki kwa mtu ambaye hata hajakuambia kuwa anakupenda......
hana feelings na wewe kabisaaaa........
hamkuwahi kuwa marafiki, unajiwazia tuuuuu, halafu unasikia anatoka na mwingine basi wewe unachukia kila mtu.......
hapa ukweli nahitaji mwongozo inakuwaje?
Be carefully with that kind of ladies, take my word and do your mathematics very carefully nakuambia.Haiwezekani hata siku moja eti mtu anampenda kimoyomoyo tena hujawahi kumwambia na yeye hajawahi kukuambia kitu then automatically usikie ameoa ama ameolewa then useme ute she/he has broken your heart. In short huyo alishatilimbwa vya kutosha then akatoshwa kwa hiyo akajiapiliza kuwa hatakuja kupenda tena.Wewe endelea but it is very hard to please a broken heart woman mpaka yeye mwenyewe kwanza ajikubali na pia akubali kupata kanseli za watu otherwise unaweza ukamwingiza ndani ukajutia.Mara atakuambia hana hamu ya kusex mara atakuambia oooh yaani najisikia kama nina depression kila nikiona mwanaume yaani kama mwanamke mwenyewe si mwelewa atakusumbua sana.Lakini ukikutana na anaejitambua na alietubu akaona kama huko nyuma alifanya uchafu anapompata mwanaume anaona kuwa ni kwa neema tu kwa hiyo anakuwa na adabu.Yangu ni hayo yachambue uone kama yanachukulika ama kuna mstari wa kuchukua ukusaidie.Zaidi usimuoe mtu kwa kumuonea huruma yaani utachemsha mbeleniHeshima kwenu wana MMU!
Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza kudate nae mwaka Juzi so tuna kama 2yrs now!
Before dating her she was my friend so nimemjua kama 7yrs ago since tukiwa tunasoma O'level
Katika uhusiano wetu tumeishi tu vizuri na nampenda sana na yeye pia ananipenda Japo huko nyuma alikuwa hana ile too much caring na saa nyingine huwa nilikuwa nashindwa kumwelewa kama ananipenda sana au ananichukulia tu, japo akawa anabadilika japo taratibu sana! All those two years ameonesha mabadiliko japo sio makubwa sana!
Sasa jana akaniambia kuna kitu anataka kushare na mimi nikamwambia its ok!
Ndo akaanza kuniambia kipindi yuko O'level alitokea kumpenda sana kaka mmoja she said alimpenda sana yule kaka, japo yule kaka hakujua kama huyo mpenzi wangu anampenda na kutokana na maadili ya kiAfrica hakuweza kumwambia kuwa anampenda, hiyo hali alianza akiwa form one ikaenda hivo hadi form four akiwa anampenda tu ila yule kaka hajui na hakurealise hilo.
Sasa siku moja huyo kaka akawa amemwambia huyo mpenzi wangu kuwa He is inluv with her friend!(yaani mpenzi wangu alikuwa na rafiki yake ndo huyo jamaa akawa amempenda)!
From there she told me she was hurted so much, she hated something called LOVE, she hated every man who came to her saying He luv her!
Na kiukweli nilipataga sana shida kwenye kumtongoza alinikataaga kama mara tatu tofauti within 6 months mara ya nne ndo akakubali japo kwa shingo upande toka hapo effort kubwa imekuwa inatoka kwangu kwenye kumpenda ila yeye akawa anatake it too easy!
Jana akaniambia at least I have showed her kwamba she can luv again(na nimeanza kuona hili)
akaniomba nimsaidie hadi arudi kwenye hali ya kawaida!
Na kwa kweli jana nimepata majibu ya maswali meng sana ambayo nimekuwa najiuliza juu yake!
Why dont she care?
Kwa nini ni muoga sana kwenye mambo ya mapenzi?
Sasa wanaMMU naombeni ushauri wenu!
Mtu kama huyu namsaidiaje ili arudi kwenye hali ya kupenda tena bila kuogopa?
Najua kuna wengine humu walishapitiaga hali kama hii Je mlifanyaje hadi mkarudi kwenye hali yenu ya kawaida?
Naombeni ushauri I want to make her love deeply again!
miaka 7 iliyopita rafiki? 7!Rafiki Fixed Point ninavyoona huyu dada aliumia sana kuona ampendaye anamchukua mwingine nadhani huwa inatokea.. ssa wasi wasi wangu isije ikawa bado hajalet go hisia bado zipo kwa huyo jamaa wa o level... Tangopori love her like nobody atarudi taratibu.
unajua nini kinachonifikirisha sana mkubwa mwenzangu?Huwa inawatokea sana watu...ni ile phenomenon kama ya fisi kumsindikiza mtu akisubiri mkono udondoke...
Na pia kazi ngumu sana kudeal na muhanga wa mambo ya MMU...ni kujipa mayo tu kwani lolote linaweza kutokea!!