Uko sahihi kusema hivyo, sikua na mahusiano mengi,Ila na wewe nikuseme kidogo, ilikuaje ukawa na mwanamke wa namna hiyo hata kama ilikuwa ni kupass time tu lakini ndo mwanamke aliepitiwa na midume yoyote alimradi katongozwa wakiwemo rafiki zako duh, nyinyi ni ndege mnaofanana ndo mana mmeruka pamoja manake hata wewe sio kama ulikuwa una mgegeda yeye tu lazma kuna wengine ulikuwa unawapitia sasa baada ya kuona mwenzio anataka kuweka makazi kwako ndo umeshtuka.
Mistake has led you to your HALF aisee! Kama aliweza kubadili baadhi ya tabia Kwaajil yako au ulimbadilisha baadhi ya tabia basi huyo ndo ubavu wako ....kaeni Mjenge familia yenu dikembeInawezekana uko sahihi kutokana na uelewa wako, ila makosa yanafanyika ili kujifunza, ukipotea njia ukashtuka unarudi na kuanza upya, sasa wew unataka nindelee kupotea? Pls, ifikirie kiuhalisia zaidi hii sio drama
Mapenzi na degree mbili wapi na wapi jaman?au ndo umemchoka binti wa watu mkuu?
Mistake has led you to your HALF aisee! Kama aliweza kubadili baadhi ya tabia Kwaajil yako au ulimbadilisha baadhi ya tabia basi huyo ndo ubavu wako ....kaeni Mjenge familia yenu dikembe
Ungekuwa unamfahamu, nadhani usingesema chochote, sasa hivi niko nje ya tz, huko mtaani anatangaa kwamba nkirud namuoa.....afu watu wote wanamjua tabia zake, nshafatwa na baadhi ya wamama watu wazima na kunionya niachane nae na wanasema inawezekana kaniendea kwa mganga, but hua mi siamini hivyo vitu.
your too hard Mr. Zogwale...ila kumbuka, familia inaongozwa na mwanamke, na familia bora ni yenye mke bora, ukiangalia hivi vigezo unaweza kunipa njia ninayoweza kumsaidia pia yeye ..aksante pia.
mimi siko flexible....very rigid..so nisingemwoa...ww si umesema ni flexible??
Hebu kielezee hicho kisa ili nipate namna
Kwenye suala la mke wa kuoa you must be hard in you decisions!! Otherwise utakuwa umejiingiza katika matatizo. Ndoa is a lifetime commitment!!! Cha msingi mpe point blank kuwa hajatulia kama mke wa kuweka ndani, atofautishe mke na mtu wa uroda tu!!! Mke asilimia kubwa ni maendeleo na hakuna mwanaume mwenye akili timamu anataka oa goal keeper!! Kwani wewe unataka mke au mama wa watoto wako awe na sifa zipi?? Ukishaziweka mezani tena kwa maandishi then zipe scores in relation to this prostitute of yours. Sorry be being hard, ni kukusaidia zaidi!! Why being soft huku nikikupoteza?
HAHAAAA... hii imekaa vizuri sanaAkija mnunulie juice akimaliza kunywa mwambie kila siku unataka kujiua leo nimeamua kukuua kwa sumu hivyo nimekuwekea humo kwa juice uliyokunywa!!!!!!!!
Kibwagizo; As we are now talking,you are half way dead!!!!
Yule comedian wa Uganda anacho kisa cha rafiki anayetaka kujiua hebu mfanyie ile uone kama anamaanisha na yuko tayari kufa kweli
Hahahaa haaaa
kaka umenichekesha
ninacho kwenye cm
Aksante sana dada yangu, hapo ninapokaa nimejenga but naweza kuhamia sehemu nyingine, kuhusu kazini kwangu hapajui ila na sijui hata kama anajua professional yangu.
HAHAAAA... hii imekaa vizuri sana
Mis you lakini!!!!
Hiyo ndo kipimo cha wote wanaotishia kujiua
unavuna ndugu yangu ulichokipanda,mtu hawezi kutembea na rafiki yako na wewe ukaja kutembea naye kwa mtu mwenye maadili yake na akili timamu hawezi fanya hivyo katika mapenzi hakuna game best, kwanza kabla sijasema ufanye nini nikuulize ukiachilia mbali maneno ya watu wewe kama wewe unajisikiaje juu yake,unampenda? achilia mbali tabia zake unafikiri unamuhitaji yeye kama yeye katika maisha yako?Ungekuwa unamfahamu, nadhani usingesema chochote, sasa hivi niko nje ya tz, huko mtaani anatangaa kwamba nkirud namuoa.....afu watu wote wanamjua tabia zake, nshafatwa na baadhi ya wamama watu wazima na kunionya niachane nae na wanasema inawezekana kaniendea kwa mganga, but hua mi siamini hivyo vitu.
Profession yako si Professional yako Mr 2 degrees