She Is Cute Uh..??

Yuko viziri pia ni mzuri hapo anaishi maisha
halisi haanza kutudanganya kwa makeup
 
naturaaal! Halaf wakiwa wasafi wanakua na natural smell flani hivi dah!
 
alimradi haiko vibaya

Inategemea kwa upande gani unaliagalia hili swala.
Huyo dada ni (Mzazi wa mtu, Mtoto wa mtu, Mjukuu, hangazi n.k) Je ungependa niweke picha yako bila Idhini yako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…