Mkuu isikutishe hiyo, kuna viwaya/vichuma wanaweka inakaa sawaDenta formula tu hapo meharibu,kwingine yupo safi sana hasa hizo dimpoz
kwa hiyo unataka kusema hapo tumeingizwa chaka si originalMambo ya camera 360 hayo....mi mwenyewe natokea handsome hatarii
Nape na Slaa wanasema bado wakati.I mean Tangaza nia!