She is beautiful, highly educated and paid but lonely! Why?

These are just church sermons.

My mum Is the most humble woman I know. What was her reward?

Some men will just take advantage of your politeness. Savage men. So many of them.

Ask the nurses taking care of women hurt by their husbands.
As religious leaders who keep on telling the poor women to endure the pain, which only ends when the man gets old or dies
Ask us who know about women with unhappy marital lives and whose men care less,. Women married to adulterous men.

You think they all don't know about christ!!

It's high time women STOP wasting their lives with these types of men.
 
Rutashubanyuma naamini mengi uliyoandika ni msaada kwa wengi kwani changamoto hiyo ni kubwa,tusaidie basi tukuelewe ingawa kwani sala yetu huwa ni Mungu atusaidie kuelewa kuliko kueleweka lakini hapa tafadhali tusaidie zaidi maana naamini unakifahamu ulichoeleza tufafanulie tuweze kukabiliana na hiyo changamoto Asante sana
 

Amen!
 
Nitaitafsiri main story pande hivi. Baada ya muda tafsiri nitaibandika
 
What is the solution? Well doing the opposite of the negative traits is the only way out of this vicious circle. Will elaborate in the near future.

Na hofu kama maelezo yanaweza kuwasaidia! Tatizo ni kuwa hali hiyo ni sawa na mwathirika wa Madawa ya kulevya kuacha inakuwa ngumu!
Pesa ,Elimu na Uzuri kwa wakati mmoja ni sumu kwa maisha ya Ndoa kwa Mwanamke!.
Ni vizuri wakaendelea kuponda raha ,wakiwa huru kuzaa na kulea watoto kama single ili wawe na amani na maamuzi huru! Leo kwa huyu kesho kwa yule!.
 
First you have to be in a relationship to find out whether it is worthy or not but the spinsters I am referring to never got there in the first place. Running away from problems rarely solve them and I find the linkage of occupational hazards directly linked to marital mayhems! Thank you now you are talking the language I can relate to.
 


Tuwe wa kweli raha inatoka wapi leo kwa huyu kesho kwa yule. Hamahama ni dalili ya kukosa amani rohoni mwao.
 
Lord have mercy!!! I hadn't such thoughts.
I was trying to prove that there are women stuck in unhappy marriages while a single woman would just call it quits with a bad relationship and start afresh


What a relief!
 
Tuwe wa kweli raha inatoka wapi leo kwa huyu kesho kwa yule. Hamahama ni dalili ya kukosa amani rohoni mwao.

Ndiyo maana nimesema kama walevi wa Dawa za kulevya!. Unajua mlevi akiishiwa iko hivi. Toka kunywa savanna-castle lite- Safari-Kiroba-mwisho -ngongo !
Sasa hao kubalidi kwao ndiyo njia ya kuondokana na tatizo lakini wanasahau tatizo ni wao wenyewe!
 
Ndiyo maana nimesema kama walevi wa Dawa za kulevya!. Unajua mlevi akiishiwa iko hivi. Toka kunywa savanna-castle lite- Safari-Kiroba-mwisho -ngongo !
Sasa hao kubalidi kwao ndiyo njia ya kuondokana na tatizo lakini wanasahau tatizo ni wao wenyewe!
Nimempata na nimeitafsiri. Kaisome tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…