She is a nurse...

Hujabaki na vi millet kweli kwenye bomba baada ya mtandao kutumika?
 
mmmmh naona mtoa mada anataka kupasha kiporo tu.....
 
ha ha ha ha uwiii ishi kwingi kweli uone vioja vingi. kha!!
 
Uko sahihi mwenyewe tulivyofunga ndoa tu nikamfungulia duka la madawa mbele ya nyumba yetu.
 
Uko sahihi mwenyewe tulivyofunga ndoa tu nikamfungulia duka la madawa mbele ya nyumba yetu.
Hapo ulifanya la maana mkuu, hizi shift zao za night haziaminiki..
 
'Wenye majungu na rohombaya sio kwenu tu, hata kwetu wapo, wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu hata kwetu wapo' Just singingi :sing:
 
'Wenye majungu na rohombaya sio kwenu tu, hata kwetu wapo, wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu hata kwetu wapo' Just singingi :sing:

Kindly avoid replying to the whole topic. Kuquote topic nzima kunachosha ma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…