Yah..kila nikikumbuka huwa najisikia vibaya sana. Namuomba mungu anisamehe kila nikumbukapo..Ni njia mbaya sana kuipitia.
Thanks bro...siwezi kurudi hata aje shetani mwenyewe sio kumtumia nurse sitajaribu.Tunasema yamepita ila huwa mambo kama haya hayaishi moyoni mwa mhusika ila kumbuka sana kutubu kaka
Maisha yaendelee mbele na yasonge mradi hukurudia tena kosa lako
Mradi tuu usirudi tena huko mkuu dikembe
Thanks bro...siwezi kurudi hata aje shetani mwenyewe sio kumtumia nurse sitajaribu.
Ndio faida ya kuwa na jukwaa kama hili, ili watu wajifunze na kuchukua tahadhari..aksante sana mkuuPamoja mkuu dikembe japo tunashauriana na kupeana maonyo sometime ili kutorudia makosa tuliyoyafanya
Na maisha yanasonga mkuu japo kigumugumu ila tunajifunza mengi kupitia watu na matendo yetu
Huu uzi umeonyesha ushawishi wa mwanamke kwenye kutenda dhambi..hawa ndugu zetu wakiamua kutubadilisha katika mambo mema nadhani dunia itakua na amani na hakutakua na haja ya kupoteza pesa kwa ajili ya majeshi na vifaa vya kivita.Nguvu ya mwanamke imeonekana hapo, wewe hunywi pombe lakini ilibidi unywe sababu yake, aisee
Ndio faida ya kuwa na jukwaa kama hili, ili watu wajifunze na kuchukua tahadhari..aksante sana mkuu
kws hiyo ukapata raha ya tigo loh....! unahatari wewe aya sasa embu tuambie raha ya tigo ikoje?
Wew miss chagga weweee..mimi natubu dhambi we unanikumbusha dhambi!!!!
Mhhh wewe miss chagga umetoka wapi huku ngoja nimwambie baba yako utafiti unauliza maswali magumu humu
Mr Rocky usiwe unamwita baba yangu huku kwenye maneno mabaya si vizuri bwana lakini ni nini mbona hivyo
Nishamwambia asije huku kabisamaanamaneno ya huku ni magumu na makali sana hayafai kabisa
usirudie tena sawa
Sawa sawa kabisa ila nakumiss wewe hivi mbona hunihurumii aise miss chagga
Angalia Excel asione maana ana mdomo kama redio ya mbao
Hii ya utabibu ni ngumu sana,,,sijui kwanini wanakua wako hot namna hii.
baba akikusikia wewe si vizuri... nitakuonea huruma tu mda ukifika usijali
Sawa sawa kabisa ila nakumiss wewe hivi mbona hunihurumii aise miss chagga
Angalia Excel asione maana ana mdomo kama redio ya mbao
Mwaya hivi uran yupo? Msalimie pls.
Na wafuatao pia wawasalimie wapendhi wao. shansarie, Lady doctor, DEMBA.