Shauri la watumishi wa TRA

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
278
Wakati Serikali ya awamu ya tano iipoingia madarakani iliwasimamisha na kuwafikisha Mahakamani watumishi kadhaa wa TRA akiwemo Kamishna Mkuu kutokana ufisadi wa kutisha. Ninauliza, je shauri lao limefikia hatua gani.
 
Back
Top Bottom