Shati la Maangamizi...

Jamaa ukimuangalia usoni hakuwa mtu mwema kabisa
Hao watu wema wanajulikana vipi? Mtu yeyote yule huwezi kujua wema au ubaya wake kwa picha tu.

Kuna watu niliwahi kuwajua wana sura za upole ila wana matendo mabaya sana tofauti na mionekano yao.

Ukikaa na mtu hata kwa dakika 5 una nafasi ya kumjua japo kwa uchache.

Huyu jamaa kitu ambacho nashukuru kwake ni kutoshambulia watu hovyo lasivyo tungepata madhara makubwa zaidi ya haya aliyofanya.

R. I. P wote waliofariki katika tukio hilo la jana.
 
Brother usibishe, unaweza kujua tabia ya Mtu kwa muonekano wake..
Kuna somo linaitwa β€˜PHYSIOGNOMY β€˜ kwenye intelligence...
Kwa hiyo inawezekana japo isiwe 100% ila probability ipo.
A wise man walks with caution at all times.
 
Nikitumie picha yangu uniambie tabia zangu?
 
Chukulia ungekuwa wewe udhulumiwe madini (dhahabu) na jamaa wa magwanda

Jamaa Ana haki kulipiza maana kusota ukitafuta madini arafu jamaa wanayachukua kirahisi

Ndio maana huyu poti alikuwa haui raia
 
Chukulia ungekuwa wewe udhulumiwe madini (dhahabu) na jamaa wa magwanda

Jamaa Ana haki kulipiza maana kusota ukitafuta madini arafu jamaa wanayachukua kirahisi

Ndio maana huyu poti alikuwa haui raia
Umeona eenhh???.Mimi simlaumu kwasababu hakuua raia ambao kimsingi hawana hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…