Shati la lowassa

Mleta Uzi huna macho. Huoni utofauti wa hayo mashati mawili?? Moja maua yake madogomadogo meusi na mengi wakati hilo jingine maua yake makubwa na machache??
Yamefanana tu but they're two different shirts, kuwa makini next time ebo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliye kuambia tycoon Edo anarudia nguo kakudanganya.
 
acha bangi hizo shati hazifanani alafu hiyo picha ya juu soo 2015 ni siku moja kabla ya kuhamia sisiemu alikuwa kwenye kikao zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anapenda sana mashati ya hivyo
Na hayo ni mashati mawili tofauti kabisa kwa pattern zake

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…