sharobaro

sharobaro

niwaellyester1

Senior Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
123
Reaction score
22
sharobaro mmoja alikufa kizembe huko gongo la mboto , wakati mabomu yanalipuka aliambiwa lala chini, "nitachafuka men" mtu wa pili akamwambia panda lori tuondoke , "nasubiri tax men" mtu wa tatu akamwambia zima cm utapigwa na shoti , "naongea na baby men" ,sekunde c nyingi bomu likalipuka pale pale alipo , bac hata kifungo cha shati hakikuonekana , ....masikini sharobaro amekufa kizembe sana....
 
niwaellyester1
unanichosha kusoma post yako men
 
sasa kishikizo cha shati ndo uitegemea kionekane??
 
Postini vitu vya kujenga taifa bana. siunajua sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya maoni yenu yakoje?
 
Postini vitu vya kujenga taifa bana. siunajua sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya maoni yenu yakoje?
ahahahah!Umepotea njia mkuu...hili ni jukwaa la kuondoa stress bana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom