Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 906 Apr 25, 2011 #1 Wana JF, kuna kiswahili kimeingia kipya sifahamu maana yake kwa hakika. Kwenye majarida mbalimbali kila mwandishi analitumia kivyake nimeshindwa kupata maana halisi ya neno: Sharobaro!
Wana JF, kuna kiswahili kimeingia kipya sifahamu maana yake kwa hakika. Kwenye majarida mbalimbali kila mwandishi analitumia kivyake nimeshindwa kupata maana halisi ya neno: Sharobaro!
K KakaNanii JF-Expert Member Joined Sep 28, 2008 Posts 325 Reaction score 52 Apr 26, 2011 #2 Maana yake ni binti wa kuvutia !
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,454 Apr 26, 2011 #3 maana yake ni mwanaume kama binti.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,248 Reaction score 13,257 Apr 26, 2011 #4 sweetlady said: maana yake ni mwanaume kama binti. Click to expand... Ewaalaaaah ambaye muda mwingi anautumia kwenye kioo,kwa kushindana na kinadada kwa urembo.
sweetlady said: maana yake ni mwanaume kama binti. Click to expand... Ewaalaaaah ambaye muda mwingi anautumia kwenye kioo,kwa kushindana na kinadada kwa urembo.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,248 Reaction score 13,257 Apr 26, 2011 #5 sweetlady said: maana yake ni mwanaume kama binti. Click to expand... Ewaalaaaah ambaye muda mwingi anautumia kwenye kioo,kwa kushindana na kinadada kwa urembo.
sweetlady said: maana yake ni mwanaume kama binti. Click to expand... Ewaalaaaah ambaye muda mwingi anautumia kwenye kioo,kwa kushindana na kinadada kwa urembo.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,454 Apr 26, 2011 #6 kichomiz said: Ewaalaaaah ambaye muda mwingi anautumia kwenye kioo,kwa kushindana na kinadada kwa urembo. Click to expand... Kweli kabisa, wakat wanaume wa ukweli muda mwingi wanautumia kutafuta pesa. Hahahaha!.
kichomiz said: Ewaalaaaah ambaye muda mwingi anautumia kwenye kioo,kwa kushindana na kinadada kwa urembo. Click to expand... Kweli kabisa, wakat wanaume wa ukweli muda mwingi wanautumia kutafuta pesa. Hahahaha!.
Deodat JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 1,274 Reaction score 275 Apr 27, 2011 #7 Brazamen.....bishololo........shola.......bishoo.......etc!
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,333 Reaction score 88,495 Jul 14, 2011 #8 Sharo baro maana yake KOTA LA NINYA aka T.A.K.O LA NYANI
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,848 Jul 14, 2011 #9 Hii kitu ilishawahi kuelezwa hapa hapa JF Sharobaro: Binti, Msichana, Mwamamwari, Kigori. Na kinyume chake ni: Barobaro: Mvulana, Kijana wa kiume, shababi.
Hii kitu ilishawahi kuelezwa hapa hapa JF Sharobaro: Binti, Msichana, Mwamamwari, Kigori. Na kinyume chake ni: Barobaro: Mvulana, Kijana wa kiume, shababi.
P Patrick Nyemela JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 332 Reaction score 28 Jul 14, 2011 #10 X-PASTER said: Hii kitu ilishawahi kuelezwa hapa hapa JF Sharobaro: Binti, Msichana, Mwamamwari, Kigori. Na kinyume chake ni: Barobaro: Mvulana, Kijana wa kiume, shababi. Click to expand... Hivyo wanaojiita masharobaro maana yake tabia zao ni kama za mabinti? au labda mashoga?
X-PASTER said: Hii kitu ilishawahi kuelezwa hapa hapa JF Sharobaro: Binti, Msichana, Mwamamwari, Kigori. Na kinyume chake ni: Barobaro: Mvulana, Kijana wa kiume, shababi. Click to expand... Hivyo wanaojiita masharobaro maana yake tabia zao ni kama za mabinti? au labda mashoga?
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,848 Jul 14, 2011 #11 Patrick Nyemela said: Hivyo wanaojiita masharobaro maana yake tabia zao ni kama za mabinti? au labda mashoga? Click to expand... Labda wamependezwa na ilo jina. Ni sawasawa leo hii, ukimwita Mtu mke (Mwanamke) kwa jina la Dame, ataona kama umemzarau, wakati ili neno ni cheo (title), sawa na 'Sir'.
Patrick Nyemela said: Hivyo wanaojiita masharobaro maana yake tabia zao ni kama za mabinti? au labda mashoga? Click to expand... Labda wamependezwa na ilo jina. Ni sawasawa leo hii, ukimwita Mtu mke (Mwanamke) kwa jina la Dame, ataona kama umemzarau, wakati ili neno ni cheo (title), sawa na 'Sir'.
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,153 Jul 14, 2011 #12 Patrick Nyemela said: Hivyo wanaojiita masharobaro maana yake tabia zao ni kama za mabinti? au labda mashoga? Click to expand... NDIO MAANA YAKE!Mwanaume kamili atajiitaje SHAROBARO?
Patrick Nyemela said: Hivyo wanaojiita masharobaro maana yake tabia zao ni kama za mabinti? au labda mashoga? Click to expand... NDIO MAANA YAKE!Mwanaume kamili atajiitaje SHAROBARO?
M Msaliti New Member Joined Jul 21, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Jul 27, 2011 #13 Wanaume shombe shombe wenyekupenda kujilemba sn kama mabinti tunaweza tukawaita mashoga japokuwa wanaekeiti.
Wanaume shombe shombe wenyekupenda kujilemba sn kama mabinti tunaweza tukawaita mashoga japokuwa wanaekeiti.
M mdau wetu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 548 Reaction score 61 Aug 4, 2011 #14 Sharobaro ni utanashati. Hivyo mtanashati anaweza kuwa binti na hata mvulana pia.
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Aug 4, 2011 #15 ni mwanamme anaetaman kuwa mwanamke (kigori) na huwa mwisho wao huishia kuwa mashoga!!! " ANYONE WHO VOLUNTEER FOR POLITICS SHOULD CONSIDER OTHERS FIRST"
ni mwanamme anaetaman kuwa mwanamke (kigori) na huwa mwisho wao huishia kuwa mashoga!!! " ANYONE WHO VOLUNTEER FOR POLITICS SHOULD CONSIDER OTHERS FIRST"