Hapo Hapo Mkuu. Kuna Totooz Hapo Za Kisingidani Na Urangini Si Mchezo! Na Kila Baada Ya Mwezi Wanabadilishwa Na Kuletwa Wengine. Anaondoka Messi Na Anaingia Ronaldo Je Unategemea Nini? Mlima Moto Kawe Ukwamani Stendi Ndiyo Habari Ya Mjini Kwa Sasa Kwa Wenye Matatizo Ya Ndoa, Wasiojua Kutongoza Na Wapenda Kitonga au Senkeke au Wami Na Wala Hawana UKIMWI Hivyo Uzeni Mechi Hamtakufa.
Mkuu Saitot hata madereva wa daladala wanamjua....huwa wanamwambia shtua ...basi anafanya makeke yake
u celeb ushaanza hivyo, mara tutaanza kumuona kwenye comedy show za TV
Kiafya safi sana, mwili anaupa mazoeziHuyu jamaa nishawai kumuona, ana mikogo ya hatari.. Hapo atatembea kwa miguu kutoka mwenge mpaka sinza barabarani watu watamshangilia kichizi.. .
Mnyasa kiboko, shati hata kama limechanika mgongoni lakini mbele amepiga tai
Wote walewale tuAu mngoni na wenyewe wana mbwembwe balaa.
Wampe promo ktk tv awe mrithi wa sharo milionea sidhani kama yupo mtu aliyerithi kipwaji.