hapo anatafuta fursa..
amweshausoma mchezo..
kwani nani atamami kulamba mapesa kama kina diamond..
sasa hivi kuna tv itajichanganya kumpa kipindi..
after few months tunamuona kwenye matangazo mara huyoo anatembelea prado na anajenga mbezi..
maisha mipango tu. kina sisi na degree zetu tunazunguka na bahasha tu