Sharo na majuto......!

Status
Not open for further replies.

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
796
Points
225

Noel france

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
796 225
Kuna ukweli gani kati ya mzee majuto na sharo? Kuna sehemu nimesikia ya kwamba zaidi ya kuigiza pamoja king majuto na sharo wana mahusiano ya karibu(baba na mwana). Pia nilikwisha wai kusikia alikuwa anaigiza pamoja na mkewe. Je kunaukweli gani alafu ukizingatia majuto kwao tanga na sharo mauti yamemkuta akielekea tanga kwao?
 

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
796
Points
225

Noel france

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
796 225
Sasa atajibu vipi jambo lisilo na msingi !?
nashukuru pia na wewe kuengezeka kunikosoa pasipo kunipatia majibu yenye kueleweka. Lakini mkubwa tambua hii ni tetesi 2,pia inategemea ikuingie ama isikuingie,kama ukunielewa ama imekuingia lazima utaniponda kwavile umezoe kwani ndio mchezo wako.
 

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
796
Points
225

Noel france

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
796 225
Mi naona wanafanana sana. Ukiamgalia vizuri macho yao na midomo yao naona kuna unasaba.
pamoja na kufanana nilikwisha msikia akisema ana watoto wake pia wanafuata nyao zake,lakini sijawai kumsikia akiwataja ama kumsema flani ndio mwanangu ingawa alithibitisha kunabadhi ya watoto wake wamekwisha anza fani anayofanya yeye na wapo kwenye soko la sana.
 

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
41,062
Points
2,000

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
41,062 2,000
pia inawezekana lakini tuthibitishie ili tufahamu zipi kapi na zipi chenga.
Nimewahi kumsikia Mzee Majuto akihojiwa na kipindi cha Ben & Mai TBC1, alikuwa na wanae 3 wa kiume. Huyo Sharo hakuwepo na zaidi akasema hakuna hata mmoja ambaye karithi kipaji chake zaidi ya mmoja tu ambaye ni muongozaji wa filamu.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,392,361
Members 528,604
Posts 34,106,634
Top