Mbona unahukumu mkuu?
Kwahyo ww ni unaishi maisha matakatifu yasiyo na dhambi?
Coz wht i knw,cc ni wadhambi ila tunaishi kwa neema 2,that means,hata ww kuepushwa na majangasio kwamba una mcha Mungu!ni neema 2
Ndo maana biblia inasema 'bwana km ungehesabu makosa yetu nani angesimama'...meaning hakuna aliye msafi bt glory to God tuliletewa Jesus!
Pia kumbuka unamuongelea hapa ni muslim(imani tofauti)
Usihukum
nini kilisababisha kifo?
ninavyoelewa kifo hakimuui mtu ila kitu kingine husababisha kifo kwa mtu. majibu mengine bwana ...
Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!
hahahah si ajabu anatafuta spare au chuma chakavu...
Sina uhakika kama hizi picha zipo hapa jamvini, kama zitakuwepo basi Mods mnaweza unganisha
RIP Sharo
Si nimesikia la kuazima dah gar mtu wote kwisha R.I.P sharo
Jamani ndivyo watu wa shamba tulivyo. Msituangalie kwa nje na kutujaji, tumepigika kimaisha sana bila kupenda wenyewe.
Tunangalieni utu wetu, ni watu wema sana na wa msaada wakati wa shida.
Halafu jamaa hakufunga
mkanda,pengine angefunga uwezekano wa kuwa hai ungekuwepo,mikanda muhimu
jamani,tusifunge kwa kuhofia trafiki tu,ni salama yetu pia.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hiyo ni toyota harrier kwa kiswahili ni toyota harakishi,,,Aisee. Ni gari aina gani hii sasa? Manake imeharibika jumlajumla.
Mkuu uyo ni mwenyekiti wa kijiji na alihojiwa na star tv, umemkosea heshima mkuu.Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!
Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!
Haya magari tunayaringia bure tuu lakini sio friendly kwetu.