TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Wakuu,
Kuna habari kuwa yule Msanii Maarufu wa Tasnia ya Maigizo na Uimbaji Sharobaro a.k.a Sharo Millionaire amepata ajali na Kufariki
Naendelea kufuatilia , kama kuna mwenye complete info anaweza ku update hapa
 
'Sharo Millionea' ndio nani huyo?!

Ndio Huyo Meeen.
Sharo.jpg
 
habari ambazo hazijathibitishwa zinasema mchekeshaji sharo milionea ..sharobaro kapata ajali na kufariki dunia huko Tanga source...channel 10
 
Back
Top Bottom