masaii mmoja alikua anauza dawa zao zile za kienyeji kaenda hotelini kuuza kakuta padri na masista wamekaa meza moja wanakula masaii kafika kawasalimu habari wakamjibu salama,masai hiko uza dawa ya kuongeza nguvu ukitumia hii mzee nakua vizuri nakutana na mama toto mambo nakua safi kabisa,padri na masista wakabaki wamepigwa bumbuwazi wasijue cha kujibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.