M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Mar 17, 2015 #2 Kwa mi naona hakuna tafauti na bongo wao ni kunyonga na kisu shingoni na sisi tairi la gari na petroli na njiti ya kiberitiy ni sawa kwa sawa
Kwa mi naona hakuna tafauti na bongo wao ni kunyonga na kisu shingoni na sisi tairi la gari na petroli na njiti ya kiberitiy ni sawa kwa sawa
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Mar 17, 2015 #3 Ishmael said: Click to expand... Du jamani waislam mmmmmh
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,377 Mar 17, 2015 #4 Mhhhh! Umetumwa!
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Mar 17, 2015 #5 makubazi said: Kwa mi naona hakuna tafauti na bongo wao ni kunyonga na kisu shingoni na sisi tairi la gari na petroli na njiti ya kiberitiy ni sawa kwa sawa Click to expand... Tofauti ipo, wao wananyongwa hadharani na mamlaka kwa sharia, sisi tunatumia sheria mkononi
makubazi said: Kwa mi naona hakuna tafauti na bongo wao ni kunyonga na kisu shingoni na sisi tairi la gari na petroli na njiti ya kiberitiy ni sawa kwa sawa Click to expand... Tofauti ipo, wao wananyongwa hadharani na mamlaka kwa sharia, sisi tunatumia sheria mkononi
U UKAWA2 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,972 Mar 17, 2015 #6 Sharia????kwa hiyo hivi ndivyo tutakuwa tunafanywa sharia ikianza kutumika kwenye mahakama ya kadhi??.Nawaza kwa sauti!
Sharia????kwa hiyo hivi ndivyo tutakuwa tunafanywa sharia ikianza kutumika kwenye mahakama ya kadhi??.Nawaza kwa sauti!