Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,686
- 39,817
Walipe hao waliosaini. Hatujaibiwa ni makubaliano mkuu.Makubaliano ya kutubiwa? Ni nani aliesaini mikataba ya kuibiwa na hawa watu,na kama nchi tuwalipe fidia ya nini tena wakati sisi ndo tulio ibiwa?