Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Wakuu teknolojia inazidi kushika kasi, wengi wetu tumezoea kushare mafile kwa njia ya ku-uploud kwenye mitandao mbali mbali kama Mediafire 4shared kushare kwa njia hii inakulazima kutumia mda mwingi hasa kama mtandao wako uko slow na kutegemeana na ukubwa wa file lenyewe.
pia tumezoea kutumia njia ya peer to peer (p2p) ambayo inakulazimu kuwa na torrent client kama vuze Utorrent na nyingine nyingi, au kutumia njia mbadala kama Zbigz ilikufanikisha zoezi la kuhamisha file husika...
Browser za Mozila na Chrome wamekuja na njia mbadala ya kuharakisha kushare data/voice n'k ambayo haitaji kutumia software yote ile zaidi ya wewe kuchukua file au webcam na kushare na watu unaotaka kuwasiliana ...
Na njia yenyeweni ni hii hapa Sharefest Click hapa Sharefest ujionee namna inavyo fanya kazi. maelezo ya jinsi inavyo fanya kazi yanapatikana kwenye hiyo site hapo ningependa kufafanua kwa undani zaidi njia hii namna inavyo fanya kazi, ila kwa bahati mbaya nipo safarini na kimeo changu kinazima charge.
Unachukua file lako popote na kudrag hapo kwenye page
Kama inavyo onekana hapa
sekunde chache tu file lako linakuwa tayari kushare na mtu yoyote, cha kufanya hapo ni ku-copy hiyo link hapo juu na kumpatia unayetaka alipate
hapa na download file nililotumiwa.