Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Nimeipenda hii uzi jaman,
I real thx GOD they alivoniumba,
Hakika alitumia muda na ufundi wake wa kutosha kwan kila alichoniumbia ni chema,kizuri na chakuoendeza,
Sio siri najivunia kwa kila kiungo nilichoumbiwa mwilin mwangu,kwan amenipa vyote nilivyostahili na vinanifanya nipendeze na kuwa mrembo wakati wote.
mambo gan hayo tena?
Mambo ya kiutu uzima, watoto hamtakiwi kuyajua. Subiri ukue utayafahamu.
Hahahaha,umeona eeee,Mwanakwetu, Mungu akupe nini kama sio gunia la chawa aisee! LOL!!
mmh hongera mama, jivunie ulichonacho.Jamani me mwenzenu nywele zangu,zipo natural hazina dawa wala chemical yoyote,ila ni laini sana na zaidi ni ndefu kweli kweli na nyingi mno na zina afya tele,ikumbukwe me mtanzania wa babu na mababu,ni mambo tu ya uumbaji wa MUNGU....:eyebrows:
Waketu salama?
Hebu tuambie bwana ulimbwende wako lol!
Kha! Watu kwa kujifagilia, weka picha yako halisi ili tuyaone.
Hahahaha,umeona eeee,
Wala sitaki kingine nimeridhika mie,
Kilichobaki ni kuomba uzima,afya nje na maisha marefu lol!
Mie mzima kabisa mwanakwetu!! Lol......mi nakapenda haka kaenglish figure kangu, for hakanipi complications kabisa hata kanga moja tu napata nguo! Hahahahah......
lol..........................ngono? humu? sijakuelewa......Mi mshamba mambo ya ngono ya humu yamenishinda..
hongera jeji, kujipenda ni muhimu.namshukuru Mungu kwa kuniumba vizuri, naupenda mwili wangu wote.
big up sister kwa kuumbwa vyema.yani sina maneno ya kuelezea uumbaji wa mungu kwangu, mana kila nikijitazama kwenye kioo nasema kweli wew mungu ni mwema, na nikiweka swaga zangu basi ndo kabisa nanyanyua mikono juu kumshukuru mungu kwa hilo.