ivy blue carter
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 119
- 27
tnx 4 sharing futota........................mmh sina neno, nakupatia pic we mkariiiii. ashukuriwe bwana mungu kwa uumbaji huo.i love every single part of my body, am totally satisfied with what God gave me. am african, lighter skinned, smoky eyes, kissable cheeks, not too tall neither too short, not skinny, with admirable bust and a nice ass 🙂
ur brain n wat...... complete the sentence plzz me sijakupata hapo.My brains and my d***
habari zenu wana jf.
embu tungeshare kidogo iki ki2 muhimu hapa, eti ni kitu gani unakipenda ktk mwili wako.
ili hata kama nakuimagine lol iko ki2 kiwe hapo.
mrudishie mungu fadhila zake kwa kusema hapa mungu umeniumba jaman.
be proud of urself, thou hakuna mkamilifu ila kuna ki2 kinakuvutia uko mwilini.......... kipi ichoo?
tukianza na mm mmmh i love my back....... lets hear it from you.....
..your back? Ow, naombe nipige chabo. Pliiiiiz!
tnx 4 sharing futota........................mmh sina neno, nakupatia pic we mkariiiii. ashukuriwe bwana mungu kwa uumbaji huo.
mmh wacha masihara jaman chabo tena???
embu changia topic hapo ww ni kp?
mmh kumbe asante kwa kuniweka sawa mkuu.Kwa kuongezea mkuu.
Kwanza karibu sana JF,pili pitia kanuni za humu ndani ili uweze furahia muda wako hapa,mfano lugha ya vifupisho kama ya kuandika 4 badala ya for hairuhisiwi.
Imagine sote tuandike hivyo,itakuwa patashika.
OTIS
waaaoh....................hongera sana dada cantalisia kwa kujivunia the way ulivyo. ashukuriwe sana mungu kwa kukuumba mrembo kiasi icho. big up sisy.Nimeipenda hii uzi jaman,
I real thx GOD they alivoniumba,
Hakika alitumia muda na ufundi wake wa kutosha kwan kila alichoniumbia ni chema,kizuri na chakuoendeza,
Sio siri najivunia kwa kila kiungo nilichoumbiwa mwilin mwangu,kwan amenipa vyote nilivyostahili na vinanifanya nipendeze na kuwa mrembo wakati wote.
Ofkozy napenda kila nilichonacho, nimeenda hewani sekunde kadhaa. Rangi maji ya kunde, naona na kusikia vizuri. Kwenye yale mambo yetu niko salama, kwakweli namshukuru Mungu kwa kila kitu.
hahaha sio wadada wakiuona wanash2shwa na ki2 kilivyo2na lol.Mie napenda mtwangio wangu.
wadada wakiuona wanasema Ooooo my God!!!!!!!
OTIS
Kwa kuongezea mkuu.
Kwanza karibu sana JF,pili pitia kanuni za humu ndani ili uweze furahia muda wako hapa,mfano lugha ya vifupisho kama ya kuandika 4 badala ya for hairuhisiwi.
Imagine sote tuandike hivyo,itakuwa patashika.
OTIS
Waketu salama?Bora kabisa umemwambia, sometimes hata hatuelewi wanaandika nini kwakweli!!
nimeelewa dada kipipi.Bora kabisa umemwambia, sometimes hata hatuelewi wanaandika nini kwakweli!!
Napenda kongosho yangu, its so WOW!