Share nasi: Ulijisikiaje siku mpenzi wako unayempenda aliposema mimi na wewe basi?

Salute
 

Umemaliza kila kitu...
 
Mmmh sijui nishapoteza network hapa ....sizani kapeace ....maana acha tu
Utulize moyo wako usimuonyeshe kumuhitaji sana, ni situation mbaya usione hapa nakupa utani wa hapa na pale Halafu usikute na yy yupo anabembeleza kwingine
Siku ingine usipende kuzamisha miguu miwili uwe unaweka mmoja coz ni rahisi kutoka tatizo la mguu mmoja huwezo furahia mapenzi to the maximum
 
Ah
Asante kwa ushauri wako ...nahisi utanisaidia na nimejifunza kitu kapeace ...ubarikiwe
 
Apa tu nilipo nan strss za hatari sababu ya mchepuko wangu siuelewi, sasa nawaza uyu for real itakuaje ikitokea tukamwagana
 
Aaaaahhhh ni noma ila inatakiwa kusoma alama za nyakati tu ukiwa anaanza kuzingua anza kutengeneza mazingira ya kuishi pekee yako bila yeye mfano mim nilipooona anaanza kuzingua nikatengeneza huo utaratibu niliosema na kweli ndani ya ijumamos akasema kanichoka na hataki tuendelee nikasema ok you may go yani kwa kifupi huwez kulazimisha mapenz hata cku moja utajiumiza tu kama hataki jiandae kisaikolojia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…