Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Sio kwamba wamekuediti shangazi
MATAGA hapo mmeondoa kichwa cha Mwahija yule mwimbaji taarabu wa TOT halafu mkapachika cha auntie wetu.Sio kwamba wamekuediti shangaziView attachment 1192236View attachment 1192237
Hapana huyo ni shangazi kweli hawaja muwekea kichwa ,Wame Edit pochiMATAGA hapo mmeondoa kichwa cha Mwahija yule mwimbaji taarabu wa TOT halafu mkapachika cha auntie wetu.
kwa kweli 2020 kibarua cha kumrudisha mtu wenu jumba jeupe ni kigumu mnoo kwenu....mission impossible!
Muda wa kuona hizi rangi rangi umekaribia
pale ilikuwa photoshop
Hiyo picha kaweka mweyewe kule Twita mbona!!
Ameikata, ni kubwa walikuwa na akina Lowasa na wengineo. kama unaweza nenda twita utaiona akiwa full na wengine wengi tu wamevaa za CCM