Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

mfungwa wa kike hachangamani na askari wa kiume

mfungwa wa zaidi ya miaka10 hawezi kumalizia kifungo gereza1 so watazunguka magereza Tanzania hadi wakome

jela wote n sawa tuu ila pesa inaweza kukufanya ukaepuka magenge ya kazi ngumu hapo ni baada ya kusota sana

zaidi ya punyeto(tena usishikwe maana toilet unaingia kwa muda maalumu na unajisaidia kwa muda uliopangiwa na kierehere wa toilet sasa zidisha muda au fosi uone nguvu ya kierehere na nyapara)

hukumu ikishatoka hakuna wa kukuonea huruma myb rufaa au msamaha wa raisi(huu unakujaga na masharti na maranyingi wabakaji na ma pusha auwahusu)

na wakati wa kuingia ukipata nguo mpya mshukuru mungu maana zitakusogeza hata 2yrs hivii msishangae kesho kumkuta nsembo na shati ilorauka na suruali haieleweki ni gauni au pensi

wanawake wanaraha magereza yao ni masafi na chakula chao ni kizuri na hawafanyi kazi ngumu!!!
*mahakamani ni fact sio blabla asa bora hakimu kuliko jaji .
U mean msamaha wa rais hauwahusu rapist n drug dealer?
 
Tena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii

Likuepukalo lina heri nawe
 
Kuna wajinga wachache humu wanasema eti mateja wote wamejitakia wenyewe...hawa wazungu wa unga wana mbinu nyingi kweli...hiyo heroine mtu akikuchanganyia kwenye kitu chochote hata chakula au kinywaji mara kadhaa tu unanasa na utakuwa unataka kwenda kula kwake kila siku...ina uwezo kumfanya kuwa addicted akiitumia mara nne tu...na ndio mbinu mara nyingi hawa jamaa wanatumia...Huko kwenye mastarehe watu wanaekewa sana madude basi tu sir God naye anasaidia
So kwenye bata huwa tunamiksiwa hivi vitu eeh?

Ntaanza kuwa makini na marafiki zangu
 
mtoto wa kike ni wewe unaenda kuangalia BASHA wako anavyoyoyoma......niko vema kuliko unavyofikiria.......muulize shamimu mkazwaji mwenzio......the limited ni nani....duka lake la sinza aikopa kwangu mtaji......au unataka nikwambie na kumkaza nilimkaza kizibo wewe.......walijaribu kunifool,,,,..kwanza bashako bora afungwe huyo mmachame angemuua..... am smart than ever KENGE jike wewe....hamia MOMBASA......
Chaaa mbona kama kuna kastor hapa
 
Badala hata mtoe historia kidogo tu ya huyo nsebo na shamimu walivyoanza kuuza ngada au hata mtandao wao tu! Mnakaz ya kuonyeshana ubabe tu
 
Je kwanini nikisema ni hasara kubwa kwa Mungu mwanadamu mmoja kwenda jehanam nakua nimekosea kwa mujibu wako????
Referring your Quote above
Kutokupenda na hasara ni vitu viwiki tofauti.

Unakuwa umekosea kwa sababu hizi.
1. Umesema uongo yaani umeandika uongo

2. Mola ni mkwasi, yaahi hapotezi waka hapungukiwi.
 
Dah maisha yanaenda kasi sana


"Bonnie and Clyde"View attachment 1740429
JamiiForums1089167942.jpg
 
Back
Top Bottom