Shame!

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
80
Kwa kamanda wa polisi kukiri kuwa maandamano ya Chadema Arusha yaliruhusiwa.
Nakwasababu nyepesi nyepesi eti chadema hawakuconfirm njia watakazo piata ni ujinga na aibu kwa hiki chombo.

Karne hii ya urahisi wa mawasiliano IGP na RPC kuwa na kauri mbili tofauti ni aibu sana...

Hawa mapolisi ndio wanao takiwa kushtakiwa kwa kuzua mtafaruku na kuanzisha vurugu sisizo kuwa na lazima..
-Hawa polisi wanashindwa kuelewa kuwa wao ni chombo cha kumlinda mwananchi na si chombo cha kumkandamiza mwananchi.

Pia hawaelewi kuwa kwa dhamana yao wanatakuwa kuwa non particm wao wamejisahau wanafanya kazi kama ccm.

Aibu kubwa kwa jeshi zima la polisi....

Wanajijengea uhasama usio walazima na wananchi.......

IGP ni kiongozi ubongo muhimu sana na busara pia.
 
Tatizo ni RPC wa Arusha kuwa "green guard" wa CCM. Hasira ya kukosa Ubunge CCM Arusha inamtuma atumie nusu ya akili yake aliyojariwa na Mungu. Lakini wa kulaumiwa hasa ni Msimamizi wa uchaguzi wa Meya kwa jiji hili. Ndio chanzo cha vurugu and he must be held accountable. Big Shame.
 
Tatizo ni RPC wa Arusha kuwa "green guard" wa CCM. Hasira ya kukosa Ubunge CCM Arusha inamtuma atumie nusu ya akili yake aliyojariwa na Mungu. Lakini wa kulaumiwa hasa ni Msimamizi wa uchaguzi wa Meya kwa jiji hili. Ndio chanzo cha vurugu and he must be held accountable. Big Shame.

Tatizo hawa viongozi hawajatofautisha kati ya kazi za umma na kazi za chama ni mashabiki zaidi wa vyama kuliko kutumikia wananchi.
Ndio maana wanatia aibu
 
Simply, the scales of justice are unevenly balanced in this Tanzania. Seriously, CCM leaders and these security and defence machineries co-pilots has to be hanged publicly.
 
Lakini jamani kwani yuko peke yake si wapo wengi tu na wengine hawajaonyesha makucha yao?
 
Na bado nasikia wa mbeya naye alitaka afanye hivyo hivyo ila jamaa wakamuwahi
 
Back
Top Bottom