Mzee Mapenzi
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 122
- 439
Aliyekupa simu uchezee anastahili bakora.
IDIOT! uwezo mdogo lakini unajitutumua kujadili vitu vikubwa
Aibu kubwa kwa serikali ya Marekani kuwa na double standards kwenye masuala ya haki za binadamu. Ikumbukwe baada ya shirika la ujasusi la Marekani kutoa ripoti rasmi kuwa mwana mfalme wa Saudi Arabia amehusika kwenye mauuaji ya kinyama mwandishi wa habari Khashoghi katika ubalozi wa Marekani huko Turkey lakini cha ajabu hakuna hatua zozote serikali hiyo imechukua. Hii vikwazo dhidi ya Tanzania ni dalili wazi kuwa ni vita vya kiuchumi dhidi ya serikali ya awamu ya tano. Hao wanaojiita wanaharakati wanaoshinda kwenye Tweeter kuandika mabaya kuhusu Tanzania ni hao hao waliokuwa wakinufaika na Ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika hapa nchini.
Serikali ya awamu ya tano iendelee kuwatumikia wananchi wake bila kujali kelele za hao wasiyoitakia mema Tanzania.
Mod please hiyo article usiunganishe popote kwani lazima tuambie ukweli hawa wamarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
IDIOT! uwezo mdogo lakini unajitutumua kujadili vitu vikubwa
Inabidi tumburuze Pompeo na yule balozi wao mahakama kuu au Balozi wao aitwe mara moja ikulu na kupewa tamko kali dhidi ya ujinga huu wa serikali ya USA..
Kabudi itisha press haraka kuikemea USA, sisi ni Taifa huru hao USA wasituingilie kama sisi tusivyowaingilia,
Bunge letu tukufu chini ya spika mahili Ndugai litoe tamko kali dhidi ya hawa mabeberu. Ndugai aitishe kikao cha dharula cha wawakilishi wa wananchi na amfute Ubunge ZZK haraka..
IDIOT! uwezo mdogo lakini unajitutumua kujadili vitu vikubwa
Kuna nafasi ya msemaji wa serikali bado haijapata mtu.Aibu kubwa kwa serikali ya Marekani kuwa na double standards kwenye masuala ya haki za binadamu. Ikumbukwe baada ya shirika la ujasusi la Marekani kutoa ripoti rasmi kuwa mwana mfalme wa Saudi Arabia amehusika kwenye mauuaji ya kinyama mwandishi wa habari Khashoghi katika ubalozi wa Marekani huko Turkey lakini cha ajabu hakuna hatua zozote serikali hiyo imechukua. Hii vikwazo dhidi ya Tanzania ni dalili wazi kuwa ni vita vya kiuchumi dhidi ya serikali ya awamu ya tano. Hao wanaojiita wanaharakati wanaoshinda kwenye Tweeter kuandika mabaya kuhusu Tanzania ni hao hao waliokuwa wakinufaika na Ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika hapa nchini.
Serikali ya awamu ya tano iendelee kuwatumikia wananchi wake bila kujali kelele za hao wasiyoitakia mema Tanzania.
Mod please hiyo article usiunganishe popote kwani lazima tuambie ukweli hawa wamarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI MLETA UZI UNAJUA MAANA YA NENO "DOUBLE STANDARD "? AMA UNA ANDIKA TU? JAMANI MSIPENDE KUTUMIA MANENO YA ENGLISH KAMA HAMJUI MAANA YAKE. SASA NIKUULIZE... HAPO HIYO DOUBLE STANDARD UNA YOISEMA IKO WAPI? TANZANIA INA WAJINGA WENGI SANA. UKOME KUTUMIA MANENO YA ENGLISH USIYO YAELEWA!
Ni kwamba unasema DAB kaua ila yeye wamemwadhibu wakati waliomuua Koshogi wanadunda. Umemtwisha kitu kizito unayejaribu kumteteaAibu kubwa kwa serikali ya Marekani kuwa na double standards kwenye masuala ya haki za binadamu. Ikumbukwe baada ya shirika la ujasusi la Marekani kutoa ripoti rasmi kuwa mwana mfalme wa Saudi Arabia amehusika kwenye mauuaji ya kinyama mwandishi wa habari Khashoghi katika ubalozi wa Marekani huko Turkey lakini cha ajabu hakuna hatua zozote serikali hiyo imechukua. Hii vikwazo dhidi ya Tanzania ni dalili wazi kuwa ni vita vya kiuchumi dhidi ya serikali ya awamu ya tano. Hao wanaojiita wanaharakati wanaoshinda kwenye Tweeter kuandika mabaya kuhusu Tanzania ni hao hao waliokuwa wakinufaika na Ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika hapa nchini.
Serikali ya awamu ya tano iendelee kuwatumikia wananchi wake bila kujali kelele za hao wasiyoitakia mema Tanzania.
Mod please hiyo article usiunganishe popote kwani lazima tuambie ukweli hawa wamarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwamba unasema DAB kaua ila yeye wamemwadhibu wakati waliomuua Koshogi wanadunda. Umemtwisha kitu kizito unayejaribu kumtetea
Kumbe mnjuana na kagame wenu, mkakate rufaa the Hague,Hao jamaa wana uchungu zaidi na mashoga kuwa harassed.
Kagame kafanya makubwa na ya kutisha tena ushahidi upo mezani lakini anadunda tu.
Ikitolewa warranty ya kutakiwa na The Heague ndo tutajua uhalifu wake ni upi labda.
Bowie ebu kwanza sahihisha si kweli kwamba Khashoghi aliuawa katika Ubalozi wa Marekani huko Turkey bali aliuawa katika Ubalozi wa Saudi Arabia huko Turkey!Aibu kubwa kwa serikali ya Marekani kuwa na double standards kwenye masuala ya haki za binadamu. Ikumbukwe baada ya shirika la ujasusi la Marekani kutoa ripoti rasmi kuwa mwana mfalme wa Saudi Arabia amehusika kwenye mauuaji ya kinyama mwandishi wa habari Khashoghi katika ubalozi wa Marekani huko Turkey lakini cha ajabu hakuna hatua zozote serikali hiyo imechukua. Hii vikwazo dhidi ya Tanzania ni dalili wazi kuwa ni vita vya kiuchumi dhidi ya serikali ya awamu ya tano. Hao wanaojiita wanaharakati wanaoshinda kwenye Tweeter kuandika mabaya kuhusu Tanzania ni hao hao waliokuwa wakinufaika na Ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika hapa nchini.
Serikali ya awamu ya tano iendelee kuwatumikia wananchi wake bila kujali kelele za hao wasiyoitakia mema Tanzania.
Mod please hiyo article usiunganishe popote kwani lazima tuambie ukweli hawa wamarekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bifu la nini mzee,nimekuambia ukweli wewe Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo kuweza kujadili mambo makubwa,unatakiwa kujadili mambo ya kula tunda kimasihara na sio mambo yanayohitaji critical thinking
Hiyo haikuwa sababu mkuu sababu we mwenyewe unaona huu utawala ulivyo dhalimu, siwatende kwa haki na democrasia tuone hao mabeberu watasema nini..!Wewe unafikiria serikali ya awamu ya tano kupitia upya mikataba ya madini na gesi hawa wamarekani walifurahia ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simon Kanguye. List inaongezeka huyu ni yule diwani wa Kigoma??Bowie ebu kwanza sahihisha si kweli kwamba Khashoghi aliuawa katika Ubalozi wa Marekani huko Turkey bali aliuawa katika Ubalozi wa Saudi Arabia huko Turkey!
Cha msingi tunachopaswa kujifunza ni kuwa Unafiki haujaweza kuwa msingi imara wa kitu chochote Duniani!
Omar Al Bashiri wa Sudani alikuwa na wapambe wanafiki waliomzunguka na kumwaminisha kuwa yeye ndo mtawala bora na Nchi za Magharibi zinamwonea wivu, leo yuko wapi?!
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda leo amezungukwa na viongozi wa dini waliozaliwa miaka ya sitini (1960s) wanamwambia alikosea umri wake wa kuzaliwa kwamba hakuzaliwa 1943 bali alizaliwa 1947 ! Ili tu apate uhalali wa kugombea Urais wa Uganda comes 2021 wakati hao viongozi wa dini hawakuwepo wakati Museveni akizaliwa!
Bowie tambua kuwa Marekeni leo wana Rais wa 46 na wakiwa wamepata Uhuru wa Taifa lao zaidi ya miaka 220 wakati Tanzania leo tuna Rais wa 5 tukiwa tumepata Uhuru miaka 58 iliyopita, MAREKANI wamekomaa na wana Maarifa mengi.
Leo unapomwona Mark Pompeo ( Secretary of State) anaweka travel ban ya kuingia Marekani kwa Paul Christian Makonda huku akisema " with credible information" si mchezo na ni aibu kubwa sana kwa Tanzania!
Huyu Christian Paul Makonda ni mtumishi wa umma ambaye ameaminiwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama mtumishi bora kwa niaba ya Watanzania!
Mark Pompeo anasema Makonda ni kama "MUUAJI" tu kwani hapendi maisha ya watu wengine!
Tujiulize humu Nchini kwetu hakuna ukiukwaji wa Haki za binadamu? Hakuna uminywaji wa democrasia?, je kuna Uhuru wa habari?!
Kama sivyo nani alimpiga Tundu Lissu risasi zote zile mchana kweupe ndani ya Nchi Huru? Vyombo vyetu vya Usalama vinasema nini kwa tukio lile la kuvidhalilisha kama vina hadhi ya kuitwa Vyombo vya Usalama?!
Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye wako wapi?
Erick Kabendera na Tito Magoti wanafanya nini Segerea?
Marekani wameanza kutupatia "Culprits" wa matukio tuliyokuwa tuna wasiwasi nayo !
Tuache Marekani aitwe Police wa Dunia.
Bowie ebu kwanza sahihisha si kweli kwamba Khashoghi aliuawa katika Ubalozi wa Marekani huko Turkey bali aliuawa katika Ubalozi wa Saudi Arabia huko Turkey!

MASKINI UNATIA HURUMA SANA. AKILI YAKO FUPI KAMA HUMPHREY POLEPOLELabda tukiwaruhusu kutuibia na tukiwa wateja wao wazuri mno wa silaha, wanaweza sahau kutuandama kwa mambo yasiyokuwa na maana.