Shame on United States of America

Wewe unafikiria serikali ya awamu ya tano kupitia upya mikataba ya madini na gesi hawa wamarekani walifurahia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
AMA KWELI TANZANIA INA WAJINGA NA WASHAMBA WENGI SANA. HIYO KAMPUNI YA BARRICK NI PRIVATE COMPANY SIO FEDERAL OR GOVERNMENT COMPANY. MIKATABA YA MADINI NA USA NI VITU 2 TOFAUTI. AMERICA HAS NOTHING TO DO WITH THAT. MA CCM ACHENI KUJI FARIJI MMELI KOROGA LAZIMA MLINYWE.
 
MLETA UZI AKASOME KWANZA KINGEREZA MAANA TITLE YA HABARI YAKE NA MAIN BODY NI SAWA NA KUAMINISHA UMMA KUWA UNAWEZA KUTEMBEA KWA MIGUU TOKA DAR MPAKA CHATO KWA SIKU MOJA.
GO BACK TO ENGLISH COURSE MEN!
 
HIVI MLETA UZI UNAJUA MAANA YA NENO "DOUBLE STANDARD "? AMA UNA ANDIKA TU? JAMANI MSIPENDE KUTUMIA MANENO YA ENGLISH KAMA HAMJUI MAANA YAKE. SASA NIKUULIZE... HAPO HIYO DOUBLE STANDARD UNA YOISEMA IKO WAPI? TANZANIA INA WAJINGA WENGI SANA. UKOME KUTUMIA MANENO YA ENGLISH USIYO YAELEWA!
Huyu Bowie zamani nilikuwa nikidhani ni genius kumbe ni kibwengo la CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu kubwa kwa serikali ya Marekani kuwa na double standards kwenye masuala ya haki za binadamu.

Ikumbukwe baada ya shirika la ujasusi la Marekani kutoa ripoti rasmi kuwa mwana mfalme wa Saudi Arabia amehusika kwenye mauuaji ya kinyama mwandishi wa habari Khashoghi katika ubalozi wa Marekani huko Turkey lakini cha ajabu hakuna hatua zozote serikali hiyo imechukua.

Hii vikwazo dhidi ya Tanzania ni dalili wazi kuwa ni vita vya kiuchumi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Hao wanaojiita wanaharakati wanaoshinda kwenye Twitter kuandika mabaya kuhusu Tanzania ni hao hao waliokuwa wakinufaika na Ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika hapa nchini.

Serikali ya awamu ya tano iendelee kuwatumikia wananchi wake bila kujali kelele za hao wasiyoitakia mema Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mtu anaweza akawa anapambana na ufisadi then akaamua kumuondoa ofisini mtu kama Prof Assad,akanyamanzisha vyombo vya habari,akazima bunge na akanyamanzisha wapinzani? Jamani hivi na ninyi wenzetu mnaishi Tanzania hii hii ya Magufuli au mnaishi Tanzania nyingine ambayo ndo inapigana vita vya uchumi kwa kuua masoko ya mazao yote yaliyokuwa yanaiingizia fedha za kigeni?
 
HIVI MLETA UZI UNAJUA MAANA YA NENO "DOUBLE STANDARD "? AMA UNA ANDIKA TU? JAMANI MSIPENDE KUTUMIA MANENO YA ENGLISH KAMA HAMJUI MAANA YAKE. SASA NIKUULIZE... HAPO HIYO DOUBLE STANDARD UNA YOISEMA IKO WAPI? TANZANIA INA WAJINGA WENGI SANA. UKOME KUTUMIA MANENO YA ENGLISH USIYO YAELEWA!
Large sex payers/Large sex pairs 😁
 
Well said mkuu
Hivi mtu anaweza akawa anapambana na ufisadi then akaamua kumuondoa ofisini mtu kama Prof Assad,akanyamanzisha vyombo vya habari,akazima bunge na akanyamanzisha wapinzani? Jamani hivi na ninyi wenzetu mnaishi Tanzania hii hii ya Magufuli au mnaishi Tanzania nyingine ambayo ndo inapigana vita vya uchumi kwa kuua masoko ya mazao yote yaliyokuwa yanaiingizia fedha za kigeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga tu kwani dola 500 milioni tunapewa na usa au benki ya dunia? Halafu sio bure tunakopa. Tunajua watumbuliwa ndio wanafurahia na mtatumbuka kwelikweli nchi ikisonga mbele.
Kumbe we kilaza mpumbavu,unajua BANK ya dunia ni ya wakenya eti?
 
Sasa Tz ina nini hadi waanzishe na sisi vita ya kiuchumi (shame on you) misaada inatoka kwao, $500 Jpm anazo lilia zinatoka huko kwao
Washindwe kuanzisha vita ya kiuchumi na China waje kuanzisha na wewe, wakihitaji si watatubandika kirusi cha Ebola uchumi uzorote.
Angalia huko china wanapambanishwa na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi shule kasome WB na IMF
 
Kwa upuuzi ulioandika niweli mijitu MYEUSI ni toleo la mwisho
Aibu kubwa kwa serikali ya Marekani kuwa na double standards kwenye masuala ya haki za binadamu.

Ikumbukwe baada ya shirika la ujasusi la Marekani kutoa ripoti rasmi kuwa mwana mfalme wa Saudi Arabia amehusika kwenye mauuaji ya kinyama mwandishi wa habari Khashoghi katika ubalozi wa Marekani huko Turkey lakini cha ajabu hakuna hatua zozote serikali hiyo imechukua.

Hii vikwazo dhidi ya Tanzania ni dalili wazi kuwa ni vita vya kiuchumi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Hao wanaojiita wanaharakati wanaoshinda kwenye Twitter kuandika mabaya kuhusu Tanzania ni hao hao waliokuwa wakinufaika na Ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika hapa nchini.

Serikali ya awamu ya tano iendelee kuwatumikia wananchi wake bila kujali kelele za hao wasiyoitakia mema Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu kubwa kwa serikali ya Marekani kuwa na double standards kwenye masuala ya haki za binadamu.

Ikumbukwe baada ya shirika la ujasusi la Marekani kutoa ripoti rasmi kuwa mwana mfalme wa Saudi Arabia amehusika kwenye mauuaji ya kinyama mwandishi wa habari Khashoghi katika ubalozi wa Marekani huko Turkey lakini cha ajabu hakuna hatua zozote serikali hiyo imechukua.

Hii vikwazo dhidi ya Tanzania ni dalili wazi kuwa ni vita vya kiuchumi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Hao wanaojiita wanaharakati wanaoshinda kwenye Twitter kuandika mabaya kuhusu Tanzania ni hao hao waliokuwa wakinufaika na Ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika hapa nchini.

Serikali ya awamu ya tano iendelee kuwatumikia wananchi wake bila kujali kelele za hao wasiyoitakia mema Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
huko umeenda mbali sana mzee baba ni juzi tu walipo muua kiongozi wa kijeshi huko Irani
 
Attachments

  • marekani.JPG
    marekani.JPG
    36.2 KB · Views: 1
Watu hawawazi mkuu wamebeba vichwa kama pambo

Back
Top Bottom