Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

"mna".......

mimi sio mkenya mkuu,,,, mimi ni mtanzania, hata hio nairobi naiona kwa tv tu.........

huwa sipendi mtu anapofurahia majanga ya wengine whether wana majigambo au hawana!..........


chukulia kama wangefurahia ile ajali ya kivuko kule victoria, ungejisikiaje???.........


haya mambo haifai kuchekana au kufurahia madhira ya wenzetu, wao mwiba wao ni al shabaab, tanzania mwiba wetu ni ajali za majini na nchi kavu!!!......

jiulize, ndege yetu moja ikianguka ikaua watu mamia wanatakiwa kufurahi kisa sie tunajisifu kwa kununua ndege mpya?? hapana haitakiwi kuwa hivyo mkuu......


after all, sisi wote ni weusi, hii mipaka waliweka wakoloni!!!
nenda zako wewe kuna uhuru wa mawazo tofauti! meli MV Nyerere ilivyopinduka walishangilia humu japo mimi nimekosoa vyombo vya ulinzi Kenya!
 
nenda zako wewe kuna uhuru wa mawazo tofauti!
uhuru wa mawazo katika kufurahia mabaya yanapompata mwingine???.........


uhuru wa mawazo upo katika kukosoa, kusifia, kukubali , kukataa n.k n.k........

hakuna uhuru wa mawazo kwenye kufurahia vifo vya binadamu wenzako, huo ni uchawi na ushetani...........
 
Kama ingalikuwa kweli waTanzania wamefurahia hiki kitendo wa kwanza kulaumu angekuwa MK254 yeye ndo hupewa lawama za Kenya directly humu siyo wewe. Maana yake ni kuwa tumetoa pole nyingi sana ktk uzi wake aliokuwa anasifia makamandoo regardless the fact that magaidi yalikuwa hayajafa yote at the time of his thread...
Hatuwezi kufurahia vitendo kama hivi na sijaona mt akifanya hivyo humu unless nioneshwe

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
nenda zako wewe kuna uhuru wa mawazo tofauti! meli MV Nyerere ilivyopinduka walishangilia humu japo mimi nimekosoa vyombo vya ulinzi Kenya!
Aaah wapi. Wakenya waliomboleza pamoja na nyinyi, rais U.Kenyatta akatuma rambi rambi zake na balozi wetu Dan Kazungu akawakabidhi cheque kutoka kwa GoK. Ila navokujua wewe kama hungefurahia vifo vya wakenya ndio ningeshangaa. Roho mbaya iliyotengenezwa kwa nta ya kanuba.
 
Aaah wapi. Wakenya waliomboleza pamoja na nyinyi, rais U.Kenyatta akatuma rambi rambi zake na balozi wetu Dan Kazungu akawakabidhi cheque kutoka GoK. Ila navokujua wewe kama hungefurahia vifo vya wakenya ndio ningeshangaa. Roho mbaya iliyotengenezwa kwa nta ya kanuba.
nimekosoa vyombo vya ulinzi na kusema may the lost souls RIP!

Poleni sana majirani! Itabidi ule ukuta uwe wa zege badala ya senyenge!
 
This are the guys happy and always wishing kenya is attacked,according to how they are texting it clearly shows they are pleased with what happened yesterday in 14 Riverside:
Ichoboy kadoda11 MOTOCHINI REDEEMER. joto la jiwe Geza Ulole

SHAME ON YOU a$$holes!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
How can you be happy to see people being killed? anyway the terrorists have been killed and over 700 people saved from the attack,it was unfortunate we lost 14 people let them R.I.P. I see a foolish NIGGAR Ichoboy insisting that 48 people died.dude did u kill them? shetani ashindwe.

About 300 Tanzanians died in the Ferry accident and no Kenyan celebrated such infact Uhuru donated some cash and staff..Washenzi mashetani mushindwe kabsa.
Calm down brethren!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwa nini walipeleka wanajeshi wao kule in the first place? Wakiwatoa watarudi kulekule walikotoka. Rejea pre kibaki times na hali ya usalama especially kwa meli zilizokuwa zinakuja Mombasa.

Hapo nakumbuka habari za Wazungu walivuomuweka Mobutu sese seko akamwua Patrice Lumumba kikatili halafu baadae wakarudi wakamwua Mobutu,
Hizi shida zote wakenya na Wasomali wanapitia ila bado Utaona Rais wa Kenya anaenda marekani kwa Trump on monthly basis,

Vitu vingine ni vigumu sana Kuelewa..
Wazungu hawana Urafiki na Mtu but only their interests..
Tatizo wakenya nao ni Mamburula sana..
 
Kusema ukweli vijana wa CCM walionekana kufurahia ugaidi uliotokea kwa majirani zetu Kenya

Niliona baadhi ya vijana wa CCM mitandaoni wakionekana kuwakejeli wakenya kwa matatizo yaliyotokea

Sio vyema kwa maana ugaidi unaweza kufanywa sehemu yoyote duniani na watu wa kila rika, kila kabila, kila nchi wakadhurika
Izo nifikra zaifu uo ni msiba sio jukwa la siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Niliwapa pole mapema nawapeni pole tena jirani zetu Mola amewatangulia wakati huu mgumu mnaopitia, Ila niwe muwazi sijapendezewa na hili bandiko kbs, liko kwa ajili ya kutupasua badala ya kutuunganisha, Mtoa mada always uko na negative energy sijui kwa nini, Hivi unajua Watanzania walio wengi walivyoguswa na hili tukio?! kuna baadhi ya waamini kwny baadhi ya makanisa wameanza kufunga tatu kwa ajili ya maombolezo na hawana hata chembe ya damu ya kikenya. Ukitaka kujua zaidi namna gani watanzania wako pamoja nanyi kwny hili tukio la kusikitisha waulize Wakenya wenzio waishio Tanzania watakwambia!!!!Usitake kbs kutugawanya kwa chuki Watanzania na Wakenya wanapendana na ndio sababu mwingiliano ni mkubwa sana kuliko nchi nyingine zote ndani ya Jumuiya.Katafute takwimu hata za Mh. Uhuru juzi kule Mombasa. Waulize Wakenya waliowahi au wanaoishi au hata waliopita Tanzania namna gani wanathaminiwa na kupewa that we call pure love. Kama hatuwezi hata kuwabagua tutawachukiaje?! Jiulize!!!!!!!!!!
 
Msapere kuanzia leo umekuwa rafiki yangu ntakutafuta siku moja tunywe kahawa!Iwe Nairobi ama Dar!!! We are all brothers and Sisters!!!! Tatizo tumefuatana!!!!Kubishana ni jadi!!!! God Bless You!!!!!.
 
Back
Top Bottom