Shambulizi kwa wanaume

Shambulizi kwa wanaume

Wapenzi wenu wamezoea kudanga ndiyo maana akikwambia hivyo unahisi ni kizinga.
 
Wahuni Sio watu wazur
tapatalk_1555181416417.jpeg
 
Ndio baby.
Ngoja nikuangalie kwenye glasi nione tabasamu lako jinsi unavyoniambia
Baby mama wangu huwa haniambii hayo maneno. Kama ana shida , siku zote yupo straight
mfano
Babe nina shida ya laki mbili,
Babe niazime Laki nne nitakurudishia mwisho wa mwezi,
Babe nahitaji hela ya gesi n.k n.k n.k
 
Baby mama wangu huwa haniambii hayo maneno. Kama ana shida , siku zote yupo straight
mfano
Babe nina shida ya laki mbili,
Babe niazime Lakin nne nitakurudishia mwiaho mwezi,
Babe nahitaji hela ya gesi n.k n.k n.k
Hapo umepata mzee baba.Mwanamke wa kuzunguka zunguka ananichosha akili hata Mimi.
 
Back
Top Bottom