Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Usishangae mkuu.Afrika bado sana. Ina maana serikali ya nigeria, umoja wa kijeshi wa Afrika Magharibi, na umoja wa africa wote wameshindwa kupambana na kuwadhibiti hao boko haram? Inashangaza sana.
Watanzania ni watu wenye akili timamu sana kulinganisha na wengi katika Afrika.Hii scene haieleweki kabisa
Hao watoto wameachiliwa bila kuumizwa huenda sababu watekaji walitaka pesa na huenda serikali ya Nigeria imelipa pesa japo haiwezi kukiri hadharani.Watanzania ni watu wenye akili timamu sana kulinganisha na wengi katika Afrika.
Huu uzi tangu ulipowekwa juzi utaona hakuna mwenye hamu kuusoma.Ndo maana wachangiaji ni wachache mno.Yapo mengi yakushughulika nayo sio upuuzi wa Nigeria.
Watoto wamerudi, walikuwa wapi?
Jeshi limewapata na hawakuumia. Walifanyaje na walimkamata nani kati ya waliowashikilia hao watoto. Mbona jeshi halitoi taarifa ya operesheni muhimu kama hii habari zake zilizochukua nafasi za kimataifa. Ujinga mtupu.
Brilliant comment!Usishangae mkuu.
Marekani na washirika wake wa NATO wameshindwa kuwasambaratisha Taleban mpaka wameamua kuzungumza nao.
Ongezea hapo kuwa Marekani alishindwa kuwasambaratisha ISIS mpaka pale Mrusi alipoingia mzigoni.Usishangae mkuu.
Marekani na washirika wake wa NATO wameshindwa kuwasambaratisha Taleban mpaka wameamua kuzungumza nao.
Katika mkasa huu watekaji lazima wawe ni sehemu ya jeshi la Nigeria kwa sababu Nigeria hakuna misitu ya kuficha watoto wote hao hata kwa siku moja.Hao watoto wameachiliwa bila kuumizwa huenda sababu watekaji walitaka pesa na huenda serikali ya Nigeria imelipa pesa japo haiwezi kukiri hadharani.
Wewe siku zote ni mtetezi wa hivi vikundi vyenye mirengo ya kidini. Boko haram ni wahalifu na wapaswa kusakwa.Watanzania ni watu wenye akili timamu sana kulinganisha na wengi katika Afrika.
Huu uzi tangu ulipowekwa juzi utaona hakuna mwenye hamu kuusoma.Ndo maana wachangiaji ni wachache mno.Yapo mengi yakushughulika nayo sio upuuzi wa Nigeria.
Watoto wamerudi, walikuwa wapi?
Jeshi limewapata na hawakuumia. Walifanyaje na walimkamata nani kati ya waliowashikilia hao watoto. Mbona jeshi halitoi taarifa ya operesheni muhimu kama hii habari zake zilizochukua nafasi za kimataifa. Ujinga mtupu.
Afrika bado sana. Ina maana serikali ya nigeria, umoja wa kijeshi wa Afrika Magharibi, na umoja wa africa wote wameshindwa kupambana na kuwadhibiti hao boko haram? Inashangaza sana.
Nenda zako wewe.wapi mimi nimetetea.Napinga ujinga na akili mbovu kama za kwako.Wewe siku zote ni mtetezi wa hivi vikundi vyenye mirengo ya kidini. Boko haram ni wahalifu na wapaswa kusakwa.
Wewe jamaa ni kilaza wa standard gauge.Nenda zako wewe.wapi mimi nimetetea.Napinga ujinga na akili mbovu kama za kwako.
Bila kufafanua unachokusudia ni kama hujasema la maana na hueleweki. Mpira utarudi kwako kwamba huna akili ya kujadiliana na watu wenye uono wa mambo ya kidunia. Rudi kwenye zile nyuzi uzipendazo zenye watu wa aina yako.
Ni kweli nakubaliana na wewe, unahitaji ukarabati uwezo wako wa kujenga hoja ili ufikie level za kuwa objective.Bila kufafanua unachokusudia ni kama hujasema la maana na hueleweki. Mpira utarudi kwako kwamba huna akili ya kujadiliana na watu wenye uono wa mambo ya kidunia. Rudi kwenye zile nyuzi uzipendazo zenye watu wa aina yako.
Ungeanza wewe kutoa mfano kwa kuonesha wanajamii unaposema mtu ni kilaza wapi amejifafanua hivyo.Bila kufanya hivyo wewe utakuwa ni zaidi.Ni kweli nakubaliana na wewe, unahitaji ukarabati uwezo wako wa kujenga hoja ili ufikie level za kuwa objective.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app