Shambulio la kielektroniki ndilo lililoinyamazisha India

Shambulio la kielektroniki ndilo lililoinyamazisha India

Hahaha USA hakosekani vita yoyote duniani. Mnapigana nyie intelligence anatoa yeye kwa pande zote.

Lakini hapa USA kachemka kaogopa aibu, nasikia madege yake F-16 yamevurunda huko India, sasa kuficha aibu anakuja na intellugecia.

Waachwe wapigane vita huleta heshima.
Jiepushe na uongo hausaidii.. Ndege za Marekani ni zina mikataba yake kutumika.. Za Pakistan haziruhusiwi kupiga india na za India haziruhusiwi kupiga Pakistan.. so india wanasema wamezipiga F-16 zikiwa parking not on air.
 
Hahaha nani kasema? (Wanasema) nimesikia zote uongo.
 
Kumbe umeelewa alichojifunza JD vance.
Hiyo habari ina pande mbili.moja link yake ndiyo hiyo uliyofahamu.Ya pili hukatazwi kutafuta mwenyewe.Kwani hata kama nisingeweka link bado inapatikana.
Pakistan hawana muongozo wa kutumia Nuclear tofauti na India , Russia, Usa, Uk , France and China , waliona wanaweza tumia silaha hizo.
 
Back
Top Bottom