Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,488
- 16,646
Makamo wa raisi wa Marekani JD Vance amesema walipata taarifa za kientelijensia za kutisha na ndipo juhudi kubwa zikafanyika kusitisha vita kwa kumpigia waziri mkuu wa India,Neranda Modi haraka ambapo ilichukua usiku mzima kuzungumza nae ili vita visimame.
Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amedokeza mambo kadhaa yaliyojitokeza katika vita vyao vifupi na India mwaka huu.
Muda mfupi baada ya makubaliano ya kusitisha vita,waziri huyo aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kusema jeshi la nchi yake limeleta furah,fakhari na heshima kwa taifa lao.
Baadae akasema ana taarifa za kufurahisha zaidi kwamba makombora ya ballistic yaliyorushwa na India mengi yao yaliangukia ndani ya India yenyewe na moja kati yao likatoka nje ya Pakistan na kuingia anga la Afghanistan,
Muda mfupi baada ya kuanza kwa majibu ya Pakistan kwa operesheni iliyopewa jiana Bunyan Marsoos,waziri huyo alisema jeshi la Pakistan lilikuwa limezilemeza silaha za India za missiles zisiweze kuruka kwa usahhi na kwamba walifanikiwa kuivuruga mitandao ya wizara ya ulinzi na mifumo ya umeme ya India.
Waziri huyo amekiri kushambuliwa kwa kambi tatu za jeshi la Pakistan lakini hakukuwa na uharibifu mkubwa kwani makombora yaliyokaribia kambi hizo yaliteketezwa angani.
Kwa upande wake India imekanusha madai hayo ya Pakistan ijapokuwa matukio ya kuangushwa kwa ndege zake tayari yamethibitiswa na vyombo vya habari nje ya nchi hiyo yakipata nguvu kutokana na picha za walioshuhudia.
A core group of top US officials — including Vice President JD Vance, Secretary of State and interim national security adviser Marco Rubio, and White House chief of staff Susie Wiles — had been closely monitoring the escalating conflict between India and Pakistan when on Friday morning, the US received alarming intelligence, Trump administration officials told CNN.
While they declined to describe the nature of the information, citing its sensitivity, they said it was critical in persuading the three officials that the US should increase its involvement.
Vance himself would call Indian Prime Minister Narendra Modi.
The vice president briefed President Donald Trump on the plan, then spoke with Modi at noon ET on Friday, making clear to the Indian prime minister that the White House believed there was a high probability for dramatic escalation as the conflict went into the weekend, the administration officials said.
Vance encouraged Modi to have his country communicate with Pakistan directly and to consider options for de-escalation, the officials said. The behind-the-scenes details of the US involvement have not previously been reported.
Source: CNN

===============================