we tapeli.mkuranga ni bilion moja wakati hata laki5 unapata eka 1 huko huko. Unalipa na kodi au? Mods njooni mfute,mdelete huyu anataka ibia watu huku.
ndugu yangu sema hujui bei ya aridhi kwa sasa na unaonekana ndio walewale wanaopenda kuwaibia wananchi kwa mikataba ya akina mangungo, usiseme hutuna fedha, sema sina fedha. Bei halali ya serikari kwa sasa heka moja ni sh.mil 100, kama ni hivyo, hekari 25 ni sh. Ngapi? Tafadhali acha kukurupuka.