don g dou
Member
- Jul 6, 2017
- 73
- 9
Kama kichwa cha habari kisemavyo nauza Shamba langu ambalo lina ukubwa wa ekari 6 Shamba lipo kijiji cha kipangu ushetu Kahama Shamba lina lutuba yakutosha na linafaa kwa kilimo na mkazi bei ni 3milion kwa ekari zote 6 maongezi yapo kwa maelezo zaidi piga simu 0622556749 karibuni sana