Shamba linauzwa!!

Shamba linauzwa!!

Nandi jr

Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
95
Reaction score
34
Habarini za mida wadau, kwa wenzangu waislamu poleni kwa mfungo. Ndugu zangu ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari 10 lipo nje kidogo ya mji wa Mtwara katika kijiji kiitwacho Mkangara kilometa kama tano hivi toka mjini. Shamba lipo kwenye muinuko kidogo, ndani ya shamba kuna miembe kadhaa mchanganyiko embe dodo na embe ndogo za kawaida, kuna nyumba ya udongo yenye vyumba vitatu na sebule na imeezekwa kwa bati kwa ajili ya mlinzi wa shamba pia lina hati ya kijiji. Bei anzia 23,000,000/= mazungumzo yapo.
 

Attachments

  • 1436811178085.jpg
    1436811178085.jpg
    153.9 KB · Views: 79
  • 1436811329089.jpg
    1436811329089.jpg
    118 KB · Views: 73
  • 1436811426609.jpg
    1436811426609.jpg
    81.3 KB · Views: 78

Similar Discussions

Back
Top Bottom