Shamba LINAUZWA

Jun 22, 2022
38
15
Shamba linalofaa kwa kilimo Cha parachichi au miti ya mbao linauzwa. Lipo Kijiji Cha matembwe ktk kata ya Matembwe, tarafa ya Lupembe wilayani Njombe na mkoa wa Njombe. Lina ukubwa wa eka 10

Bei ni tsh 500,000/= eka Linafaa kwa kilimo Cha mahindi pia maharage n,k

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0784340024

IMG_20220723_152156_171.jpg
IMG_20220723_152154_000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom