Shamba linauzwa Vikindu

Shamba linauzwa Vikindu

lubamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
947
Reaction score
618
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa vikindu lipo umbali wa km 1 toka vikindu centre. Sifa barabara ya uhakika hadi shambani, mto usiokauka unapita katikati ya shamba. Eneo hilo tayari kuna makazi ya watu. Mwenye nia tu ya kununua piga 0763 233 030. Dalali hatakiwi.

Karibuni
 
Wauzaji wa maeneo hasa mashamba mara nyingi mnatoa taarifa za uongo, umbali wa km moja ni kutokea wapi? ni uelekeo wa upande gani vianzi au chuo cha ualimu? unaema km moja kumbe unaenda madongo kuporomoka hukoo, kweni wa kweli
 
Unalolisema ndg yangu ni sahihi.Binafsi naloweza kuongea sijawahi kupima kwa uhakika ila najua km 1 ni m 1000.Hivyo kwa hesabu yangu hiyo ninahisi hata kama sitakuwa accurate lakini si zaidi ya 0.05 + au -.unateremka mkabala na kibao cha Vikindu TTC ukiwa unatokea Mbagala kisha unaingia kushoto kwako huko unakutana na mto Myobozi.Utakuwa umefika eneo husika.Karibu mzee tufanye biashara.
 
Kwanini usiweke bei hapa ili mtu akipigia ajua in average what he's getting himself into?
 
weka kianzio cha bei sheikh.
shamba lina miti au mazao gani?
 
shamba lina minazi kadhaa na mikorosho michache.All in all the place is ideal for poultry,vegetable cultivation or even residence activities. serious buyer nipm nikupe bei na ukague. ujue thamani halisi. ya sehemu hiyo kabla ya biashara. Karibu ndg yangu.
 
Weka bei we jamaa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom