Shamba Linauzwa Vianzi, Vikindu

Shamba Linauzwa Vianzi, Vikindu

Makunguru

Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
14
Reaction score
2
Wajameni,
Nina heka 20 za shamba maeneo ya Vianzi karibu na Vikindu, Kisarawe Pwani. Ni moja ya maeneo yanaokua na kuendelezwa kwa kasi sana. Katika hizo nina mpango wa kuuza heka tano. Kama uko interested tafadhali nipigie number ifuatayo: 0765800160. Au ni-PM.
 
weka Walsh bei basi ya kila heka asee
 
Wajameni,
Nina heka 20 za shamba maeneo ya Vianzi karibu na Vikindu, Kisarawe Pwani. Ni moja ya maeneo yanaokua na kuendelezwa kwa kasi sana. Katika hizo nina mpango wa kuuza heka tano. Kama uko interested tafadhali nipigie number ifuatayo: 0765800160. Au ni-PM.

vikindu napafahamu sna vianzi pia napajua barabara kipindi cha mvua ni shida sana......unauza kwa heka shilingi ngapi?
 
Ni-PM au piga +255 765800160.
Chinga; kwa sasa miundo mbinu imerekebishwa na inaendelea kuimarika sana. Wont be long before it is part of DSM city
 
Biashara zisuzo na bei huwa ni haramu kwangu.
Kama kweli unauza kwanini bei haiwekwi? Labda watu wa marketing waje watueleze ukweli wa hiki kitu
 
King90, Mache, Chache1, Rakeem; wenye kuhitaji seriously wameshafika na kununua portions mpaka kwa majirani zangu already. Nyie mnasubiria bei hapa JF.

Karibuni sana
 
Back
Top Bottom