TechTino Member Joined Oct 16, 2016 Posts 71 Reaction score 25 Jun 7, 2017 #1 Anayehitaji shamba maeneo ya Morogoro karibu na mto Ngerengere (Sangasanga) zipo hekari 100 anaweza kununua zote kwa pamoja ni 25 million. Pia kama unahitaji kiasi kidogo wasiliana na No 0786361528 au 0763361528.
Anayehitaji shamba maeneo ya Morogoro karibu na mto Ngerengere (Sangasanga) zipo hekari 100 anaweza kununua zote kwa pamoja ni 25 million. Pia kama unahitaji kiasi kidogo wasiliana na No 0786361528 au 0763361528.
kisanganyakiswata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 1,302 Reaction score 553 Jun 7, 2017 #2 Sangasanga ipo wilaya gani
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,258 Jun 7, 2017 #3 Liko karibu na kambi ya makomandoo?
Erick B Senior Member Joined May 25, 2017 Posts 107 Reaction score 81 Jun 8, 2017 #4 PROF NDUMILAKUWILI said: Liko karibu na kambi ya makomandoo? Click to expand... Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua...
PROF NDUMILAKUWILI said: Liko karibu na kambi ya makomandoo? Click to expand... Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua...
D Daud26 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,248 Reaction score 880 Jun 8, 2017 #5 Erick B said: Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua... Click to expand... Wajeda wanatabia ya kuchukua kwa nguvu maeneo karibu na kambi ata kama una hati.(wanapohitaji eneo kwa kazi zao) Wanaema ardhi ni ya serikali
Erick B said: Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua... Click to expand... Wajeda wanatabia ya kuchukua kwa nguvu maeneo karibu na kambi ata kama una hati.(wanapohitaji eneo kwa kazi zao) Wanaema ardhi ni ya serikali
TechTino Member Joined Oct 16, 2016 Posts 71 Reaction score 25 Jun 11, 2017 Thread starter #6 PROF NDUMILAKUWILI said: Liko karibu na kambi ya makomandoo? Click to expand... hapana sio huko kaka kama huna info vizur its better ukawa msikilizaji tuu[emoji120]
PROF NDUMILAKUWILI said: Liko karibu na kambi ya makomandoo? Click to expand... hapana sio huko kaka kama huna info vizur its better ukawa msikilizaji tuu[emoji120]
Princ JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 285 Reaction score 91 Jun 11, 2017 #7 kwani munaogopa wajeddah