Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,622
- 112,701
Ooh nlikua sijasoma vizuri, nikajua heka 20 ni laki sita. Ningeelekea stand sahivi kuanza safari ya njombe.
HahahahaaaaaaaaaaaaaOoh nlikua sijasoma vizuri, nikajua heka 20 ni laki sita....ningeelekea stand sahivi kuanza safari ya njombe.
Bei hiyo ni kubwa sana mkuu.Lipo Kijiji Cha matiganjola
Ktk kata ya ikuna wilayani njombe mkoa wa njombe
Lina ukubwa wa eka 20
Kutoka njombe mjini ni umbali wa kilomita 20 tu
Kuna chanzo Cha maji karibu
Gari linafika mpaka shambani
Bei ni tsh 600000 kwa eka
Lina limika kwa ng'ombe au trekta
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024View attachment 1705649View attachment 1705650View attachment 1705651
si ukawatangazie wanakijiji kama hauitaji maswaliUpo sawa kabisa,Kuna jamaa hawana pesa wanataka kuwakwaza na watu wengine
Hilo Shamba lina acid ya kutosha.
PH iko low sanaaa.
Dalali unauza eka 600k wakati huku Iringa napata kwa 200k...
Dalali unamnyima mwenye Shamba wateja.
#YNWA
Upande wa masharikiUkiwa barazani upande gani?
Kwa bei hii..Natafuta ekari 2400 zilizopo sehemu moja kwaajili ya kilimo cha parachichi bei isizidi 40$ per acre kwasababu nachukua nyingi
Ahsante sana kwa taarifa muhimuHivi unajua kuwa "apart from" janga la moto lililolikumba hilo Shamba, hivi unajua LINA ACID NYINGI..???
Atakae nunua akitaka KUTOBOA kwenye Parachichi basii Chokaa mazao ina kuhusu hasa.
Sasa how are you balancing gharama za Chokaa mazao?
#YNWA