Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 408
Shamba linauzwa liko Msowero Kilosa line ukubwa wa ekari 65 kuna nyumba barabara nzuri liko kando ya mto Msowero linafaa kulima kilimo cha umwagiliaji ukiondoa foleni ni mwendo wa masaa manne tu kutoka shambani ampaka Kariakoo shamba linarutuba kwa wanao staafu utumishi wa umma hakuna haja ya kusumbuka kwani kuna baadhi ya mazao ya kudumu kama migomba anaye hitaji tukutane in box