Shamba linauzwa Kahama

don g dou

Member
Jul 6, 2017
73
9
Wakuu kutokana na vyuma kukaza ninauza Shamba langu ambalo ni ekari 8 Shamba lipo Kahama kijijini linafaa kulimwa mazao yote bei ni laki 300000 kwa ekari karibuni sana
 
Kjiji cha butende Kata ya mpunze linafaa kulimwa mahindi pamba karanga viazi miti nk
Butende unapitia njia ya ifunde kama unaelekea secondary ya mpunze. Ile njia ya karibu na mahakama ya mwanzo na geti ka ushuru wa mazao kuelekea imeli. Si ndio mkuu?
 
Butende unapitia njia ya ifunde kama unaelekea secondary ya mpunze. Ile njia ya karibu na mahakama ya mwanzo na geti ka ushuru wa mazao kuelekea imeli. Si ndio mkuu?
Ndio hivyo mkuu ukipita senta ya butende Kama waeda kipangu tayari unaigia kwenye Shamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom