Wakuu kutokana na vyuma kukaza ninauza Shamba langu ambalo ni ekari 8 Shamba lipo Kahama kijijini linafaa kulimwa mazao yote bei ni laki 300000 kwa ekari karibuni sana
vipi umeme na maji vipo karibu(kashiwasa)Haifai mkuu
5.kagongwaKahama kunavijiji vingi mkuu
1.ulowa
2.masabi
3.bugomba
4.nyamtengera
5. Nk
Mkuu kama maji yapo siwez kuja na Jenereta nikafanya kilimo cha kumwagilia?Maji yapo umeme bado mkuu
Du safi. Nilihisi labda na tanesco wamepita karibu. Kila la heri hope utauza soonMaji yapo umeme bado mkuu
Umesema maji yako karibu naomba kujua chazo cha maji ni mto ziwa bomba au bwawa na maji yako umbali gani kutoka shambaniWakuu kutokana na vyuma kukaza ninauza Shamba langu ambalo ni ekari 8 Shamba lipo Kahama kijijini linafaa kulimwa mazao yote bei ni laki 300000 kwa ekari karibuni sana