Unauza eneo lote au unaweza mkatia mtu kipande kwa kadri ya mahitaji take?
Kwa wote wanaotaka shamba kwa ajili ya kilimo cha miti au mazao tofauti.. Ninauza shamba la ekari 589,
*Mto usiokauka umepita katikati ya shamba,
*Barabara nzuri mpaka shambani pia km 50 kutoka iringa mjini mpaka shambani.
Kwa mawasiliano: 0718 835 549
Mbona unatoa maelezo kama hulijui shamba lilipo, je lipo Tanangozi,Ihemi,Ifunda,Rungemba au Kiponzero,au Kaning`ombe, tupe location kabisa, hata kama lipo Mgama au Mawambala sema tu.Nauza shamba lote, Siuzi kwa ekari
*Bei ni 400 mill
*Barabara inayoelekea mbeya upande wa kulia.
*Lina hati kubwa.
Lipo kiponzero kwa wale wenyeji wa iringa.
that sounds like 750,000 kwa ekari!. bei fair ila kibongo bongo bado. ndio per capita ya mbongo hiyo ujue.
that sounds like 750,000 kwa ekari!. bei fair ila kibongo bongo bado. ndio per capita ya mbongo hiyo ujue.