Plot4Sale Shamba linauzwa Fukayosi Bagamoyo Heka 10

Viwanja vizuri sana! Eneo lipo Bagamoyo road pembeni mwa Baobabs school, eneo ni zuri sana na ni Tambarare, umbali ni mita mia nne tu mpaka barabara ya Bagamoyo , ni sehemu ya kutembea tu, bei kwa SQM ni 17,500, ukubwa vinaanzia Sqm 400 unaweza kununua mpaka eka 6 na zaidi! Malipo yapo aina mbili Unaweza kulipia cash au kwa awamu, karibuni
0755155782
Kwa awamu unalipia awamu ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom