Plot4Sale Shamba linauzwa Fukayosi Bagamoyo Heka 10

Viwanja vinauzwa Kiromo mbele ya Zinga Bagamoyo road

20*20(400sqm)

5m kwa cash
au 6m kwa mkopo..

karibuni
 
Kwa mahitaji ya Viwanja/mashamba Bagamoyo,Kibaha,Bunju,Goba...
karibu
0755155782
 
viwanja vipo.
IMG-20200425-WA0021.jpg
 
kibaha watu wanajilimia ufuta...karibuni viwanja na mashamba.
IMG-20200425-WA0019.jpg
 
Nina shida, nina shamba heka 10 nataka lisafishwe bila usumbufu kuna kampuni inayofanya hiyo kazi? Watu binafsi wamenishinda
Habari nimepata vijana wa kufanya nayo kazi kama upo tayari,naomba location kamili na kavideo La eneo ili tujithaminishe kabisa..
 
Viwanja vizuri sana! Eneo lipo Bagamoyo road pembeni mwa Baobabs school, eneo ni zuri sana na ni Tambarare, umbali ni mita mia nne tu mpaka barabara ya Bagamoyo , ni sehemu ya kutembea tu, bei kwa SQM ni 17,500, ukubwa vinaanzia Sqm 400 unaweza kununua mpaka eka 6 na zaidi! Malipo yapo aina mbili Unaweza kulipia cash au kwa awamu, karibuni
0755155782
 
Kwa mahitaji ya Viwanja na mashamba kwa Pwani na Dar Es Salaam tuwasiliane kwa 0755155782

Viwanja ni uhakika makubaliano yanafanyika Ofisini
 
Viwanja vya makazi na biashara vipo Kibaha,Goba,Bagamoyo na Kigamboni kwa bei nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom