Shamba linauzwa Bagamoyo, lina hati!

Green pasture

Member
Feb 14, 2017
38
6
Habari wakuu.

Nina shamba langu nauza, lipo bagamoyo kijiji cha fukayosi.

Ni takriban kilomita 18 kutokea bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba. Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote. Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa.

Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.

Bei ni Shilingi Milioni tatu (3),pungufu tunazungumza.

Tuwasiliane kupitia namba hizi 0769 359 084/ 0714 940 775 Kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.
 
Habari wakuu.

Nina shamba langu nauza, lipo bagamoyo kijiji cha fukayosi.

Ni takriban kilomita 18 kutokea bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba. Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote. Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa.

Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.

Bei ni Shilingi Milioni tatu (3),pungufu tunazungumza.

Tuwasiliane PM Kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.

Kuna umbali gani toka barabara kuu hadi shambani kwako? Shamba lako lina mazao au limesafishwa au ni pori tu? Ni upande upi wa barabara ukitokea bagamoyo?
 
Kuna umbali gani toka barabara kuu hadi shambani kwako? Shamba lako lina mazao au limesafishwa au ni pori tu? Ni upande upi wa barabara ukitokea bagamoyo?

Lipo km 10 toka barabara kuu, lipo upande wa kulia ukitokea bagamoyo mjini. Shamba sijalima mazao yoyote mkuu. Nimesafisha mwezi wa 12 mwaka jana hivyo lipo katika hali nzuri
 
Green pasture

Hekari??

Hiyo metriki ndio kwanza Nakutana nayo leo tangia nizaliwe.

Ufahamu wangu mdogo:Kuna,
EKARI (Acre) na HEKTA (Hector) ambapo Hekta ni kubwa mara mbili na kidogo ya Ekari(Acre)

Tujuzane hii HEKARI yako ni Mchapio maridhawa au mimi nachemsha?

Nahofia unaweza kumpeleka Mtu hadi huko akidhania kuna Hekta 3(Ekari 6) kumbe ni Eka/ri Tatu tu.
 
Mkuu dalalitz nashukuru kwa darasa na pole kwa mkanganyiko. Mimi sijabobea sana katika masuala ya vipimo hivyo siwezi kukubaliana au kukataa ulichokisema badala yake kama upo serious nakukaribisha shambani uje kujihakikishia
 
Weka nakala ya survey plan tukusomee na kukuambia vipimo halisi mkuu.
Mkuu dalalitz nashukuru kwa darasa na pole kwa mkanganyiko. Mimi sijabobea sana katika masuala ya vipimo hivyo siwezi kukubaliana au kukataa ulichokisema badala yake kama upo serious nakukaribisha shambani uje kujihakikishia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom